U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,006
[video]http://www.cnn.com/video/?hpt=hp_c1#/video/world/2011/12/28/nr-starr-iran-hormuz-threat.cnn[/video]

(CNN) -- The U.S. Navy said Iran's threat to block the strategically and economically important Strait of Hormuz is unacceptable.
"The free flow of goods and services through the Strait of Hormuz is vital to regional and global prosperity," Navy 5th Fleet in Bahrain spokeswoman Cmdr. Amy Derrick Frost told reporters on Wednesday.
"Anyone who threatens to disrupt freedom of navigation in an international strait is clearly outside the community of nations; any disruption will not be tolerated."
The 34-mile-wide shipping channel leads in and out of the Persian Gulf between Iran and Oman. It is strategically important because tankers carrying oil travel through it.
bttn_close.gif

111227082009-pkg-damon-iraq-iran-military-muscle-00011529-story-body.jpg

Iran's military might in Iraq

Iran Military Posturing

Iran's vice president has warned that the country could block the strait if sanctions are imposed on its exports of crude oil. France, Britain and Germany have proposed sanctions to punish Iran's lack of cooperation on its nuclear program.
The 5th Fleet is based in Bahrain, and Frost noted that the Navy "maintains a robust presence in the region to deter or counter destabilizing activities."
"We conduct maritime security operations under international maritime conventions to ensure security and safety in international waters for all commercial shipping to operate freely while transiting the region," she said.
Asked whether the fleet would be able to keep the strait open if Iran moved to close it, she said, "The U.S. Navy is a flexible, multi-capable force committed to regional security and stability, always ready to counter malevolent actions to ensure freedom of navigation."
Frost was also asked whether keeping the strait open is part of the fleet's mandate.
She said it is "committed to protecting maritime freedoms that are the basis for global prosperity. This is one of the main reasons our military forces operate in the region.
"The U.S. Navy, along with our coalition and regional partners, operates under international maritime conventions to maintain a constant state of high vigilance in order to ensure the continued, safe flow of maritime traffic in waterways critical to global commerce."
The French Foreign Ministry stressed that the waterway is an international strait.
"In consequence, all ships, whatever their flag, enjoy the right of passage in transit, in accordance with the United Nations Convention on the Law of the Sea, adopted in 1982, and with the customary international maritime law," the ministry said.
Iran is holding a 10-day military exercise in an area from the eastern part of the strait out into the Arabian Sea. Western diplomats describe the maneuvers as further evidence of Iran's volatile behavior.
 
Iran wamesema kuwa kufunga hilo bomba ni rahisi sana zaidi ya kunya glasi ya maji.let see
usa they just came back from iraq ..may be thr again looking for an employments through war with iran?
 
Lol...wanacheza tuu hawa waarabu wanajua wakijaribu tuu ndio utakuwa mwisho wao,na hii itakuwa vita ya kwanza Americans watakuwa na support ya Chinese
 
Watu bado wana hasira ya Drone yao halafu Iran anataka kuleta balaa jingine!.
 
Iran inawezekana wanataka kuwaprovoke US ili wajuwe mwisho wake maana nchi yao tayari ni kama iko vitani na CIA.

Strait of Hormutz ni uchokozi ambao US hawawezi kuuvumilia kwasababu kwanza ndiyo the main reason ya kuwakomalia Wairan...

Kuleta chokochoko huko ni sawa na kutaka kuwakatia US life support...
 
Iran wamesema kuwa kufunga hilo bomba ni rahisi sana zaidi ya kunya glasi ya maji.let see
usa they just came back from iraq ..may be thr again looking for an employments through war with iran?
Inawezekana kabisa kuwa wamejitoa Iraq as a strateic move ili waweze kwenda Iran bila kuonekana wame occupy nchi zote...

Iran anajuwa kuendelea kuwapa hawa muda ni kujimaliza tu, kwahiyo kaamua kutumia karata yake kubwa kuilko zote, karata hii kama wakiendelea nayo, basi vita havitaepukika.
 
Iran inawezekana wanataka kuwaprovoke US ili wajuwe mwisho wake maana nchi yao tayari ni kama iko vitani na CIA.

Strait of Hormutz ni uchokozi ambao US hawawezi kuuvumilia kwasababu kwanza ndiyo the main reason ya kuwakomalia Wairan...

Kuleta chokochoko huko ni sawa na kutaka kuwakatia US life support...

Kibano cha toughest sanctions kinakuja na ukizingatia Saudia ameahidi kuzalisha 4 more million barrels of oil ili kufidia kiwango kinachozalishwa na Iran. Huu ni ujinga na msiba wa kujitakia wa Iran. Wanajua kabisa kuwa watakula kibano sababu hawana uwezo wa kusimama na US.
Hiii itakuwa kama Georgia alivyojitakia vita na Putin kule Abakhazia.
Ukizingatia US Fifth Fleet wana naval base hapo Bahrain

navire400-2.gif
 
The U.S. Congress has passed a bill that penalizes foreign firms that do business with the Iran Central Bank, a move that would heavily hurt Iran's ability to export crude. European and Asian nations use the bank for transactions to import Iranian oil.
President Barack Obama has said he will sign the bill despite his misgivings. China and Russia have opposed such measures.
VUVUZELA,

Consequences za hiyo bill ni almost equal to the closure of the strait of Hormuz kwa wa Iran, kwasababu hakuna kampuni itakayofanya nao biashara labda wategemee black market, ndo maana wanachimba biti...

Hii bill ni ya kuwakosesha wao, strait of Hormuz ni karata ya "Tukose wote"

Hizo nchi nyingingine zitakazo step up oil prdn ni baada ya hiyo bill ama ni kama Iran wakiziba hiyo passage?

Kwasababu kama sikosei hata wasaudi wanaitegemea, UAE,Iraq nk.

Angalizo: Saudi wana uwezo wa kuongezea extra 2m Barrels, kiwango kitakachopungua ni 4m barrels, so someone else needs to cover the other 2m barrels...
 
As US is pulling out of the war zone in Irag, it definitely would like to stay out of wars for a long time so it gets time to rebuild its economy after spending massive amount of resources in both Iraq and in Afghanistan. However, make no mistake to believe that US has been weakened by those wars. If it becomes necessary to wage a destructive war against Iran, that war will not last more than two weeks before Iran falls. The main cost of the Iraq and Afghanistan wars to US was that of rebuilding those countries after destroying them; so if US decides to just destroy Iran and never engage in rebuilding, it is obvious that US will prevail.
 
Rebuilding is the part of a "payback period" Ina maana kuwa resources zao ndizo zitakazotumika kuijenga nchi yao upya, yani ina maana hiyo ni mojawapo ya their cost of freedom, ndo maana hawaendi kila mahali hao watu...Wanaanza na madeni halafu wanatake over productions...

Hawawezi kuja kuwasaidia kubomoa Taifa lenu kwa kuondoa utawala mnaouona ni mbaya kama hakuna rasilimali zitakazosaidia kuwalipa hata madeni mtakayo inccur.
 
Rebuilding is the part of a "payback period" Ina maana kuwa resources zao ndizo zitakazotumika kuijenga nchi yao upya, yani ina maana hiyo ni mojawapo ya their cost of freedom, ndo maana hawaendi kila mahali hao watu...Wanaaanza na amdeni halafu wanatake over productions...

Hawawezi kuja kuwasaidia kubomoa Taifa lenu kwa kuondoa utawala mnaouona ni mbaya kama hakuna rasilimali zitakazosaidia kuwalipa hata madeni mtakayo inccur.
Marekani anatafuta njia ya Kumpiga Mu IRAN na ameshaipata hiyo ya Hormuz haya Mkuu jMushi1 tuone mwisho wake itakuwaje?......... Vita Vikali tu loooooooooooooooooo Dollar ya KimaRekani imeshuka jamani shillingi ya ki Tanzania imepanda ju..... NATABIRI VITA KATI YA US NA IRAN Mwanzoni mwa mwaka 2012...............
 
Ni ... , lakini bila kupona washirika wake ama kwa nafasi zao kama mtu mmoja mmoja kimya kimya au kama taasisi kwa kishindo!!!

Marekani anatafuta njia ya Kumpiga Mu IRAN na ameshaipata hiyo ya Hormuz haya Mkuu jMushi1 tuone mwisho wake itakuwaje?......... Vita Vikali tu loooooooooooooooooo Dollar ya KimaRekani imeshuka jamani shillingi ya ki Tanzania imepanda ju..... NATABIRI VITA KATI YA US NA IRAN Mwanzoni mwa mwaka 2012...............
 
Lol...wanacheza tuu hawa waarabu wanajua wakijaribu tuu ndio utakuwa mwisho wao,na hii itakuwa vita ya kwanza Americans watakuwa na support ya Chinese

Mada ni wa Iran, waarabu imewahusu nini?

Au ndio "great thinker" asiyejuwa kuwa wa Iran si Waarabu?
 
Hizo ni kelele tu wa Iran hawawezi kufunga Hormuz sababu ndo kitakuwa kipigo chao mana warabu wote watakuwa na US....cha kushangaza Oman imebaki kimya na wanasema hawana wasi wasi...Hapo lazima I ran ijiulize kuna game gani linachezwa chini kwa chini-mimi najua wazi Iran anatafuta kifo akifanya hivyo.
 
IRAN wawe makini, kama wamedanganywa na kushusha Drone ya US, basi hiyo itakuwa mbaya kwao. Kwa mwitikio wa US juu ya Iran kufunga Hormuz, nina wasiwasi hata hiyo drone US waliilengesha makusudi hili kuongeza morari ya IRAN ya kujiona inaweza kupigana na US.

Kwa sasa dunia haiitaji vita nyingine. Wote wanaolazimisha kuanzisha vita nyingine ni 'Axes of Evil'
 
Mkuu hiyo drone kama ulivyonena ni set up. Ukiunganisha pieces of the puzzle utaona kuwa ile issue ya Iran ku-attempt kum-assasinate Saudi ambassador to the US, hapo ni chess game inachezwa. Saudia ana usongo na Iran kwa kitendo kile cha balozi wake kutaka kuuwawa, na ameapa atalipiza. Saudia wameahidi kuzalisha mafuta zaidi kufidia kiwanga anachozalisha Iran endapo vita itaanza. Ktk nchi za kiarabu ukimweka sawa Saudia, umesha-solve chess match in which US ameshafanikiwa.
Ahamedinajad ameshaingizwa kingi na inasubiriwa muda na wakti muafaka wa Iran kuvamiwa. In the next few weeks watambana koo na toughest sanctions ambazo hazijawahi kutokea, meaning maisha yatakuwa magumu sana Iran, na atajifanya kufunga straight of Hormus kulipiza vikwazo, na hapo ndio mwisho wake utakuwa umewadia
 
Back
Top Bottom