Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,861
- 20,714
Bila huruma U.S.A. imeanzisha harakati za kuipindua Serikali ya Sudan miezi miwili tu baada ya Sudan kufikia makubaliano na Urusi kuanzisha kituo cha kijeshi.15 APRILI 2023
Miezi miwili iliyopita, Februari 9, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov alitembelea taifa la Sudan ya Kaskazini. Moja ya mada zilizojadiliwa ni Uanzishwaji wa Kituo cha Wanamaji cha Urusi kwenye Bahari Nyekundu.Miezi miwili baada ya mjadala huo, Marekani imeanzisha harakati za kuipindua Serikali ya Sudan Kaskazini.Hii si ajabu kwa Marekani,ni kawaida yake.Huu ndio uovu wa Marekani.Imechukua CIA miezi miwili tu kutimiza uovu wake.Marekani ikishaona haiwezi kupata inachotaka kwa njia za amani au hongo, inachochea kupinduliwa kwa serikali ya nchi husika.Marekani ndio Taifa ovu kabisa duniani na watu wanaoiongoza Marekani wanaamini kwamba wapo juu ya Sheria.Ili kufanikisha malengo yao maovu kwa dunia,viongozi wa Marekani wapo tayari kufanya lolote.Vikwazo vya kiuchumi, vita vya kibiashara, ulaghai katika uchaguzi, hongo, kuua viongozi wa mataifa mengine au kama tunavyoona kwa Sudan na Urusi kupindua serikali.
Marekani haikubali kabisa kuondolewa kwenye uongozi wake wa dunia, na yeyote anayejaribu kufanya hivyo hupondwa, kuharibiwa au kuondolewa kabisa kwenye uso wa Dunia.Hiyo ndiyo Marekani.Ndio maana mataifa mengi ya dunia yanajitenga na Marekani na yanaachana na matumizi ya US$ kama reserve currency.
Kama Dunia haitasimama kidete na kukomesha jinsi serikali ya Marekani inavyofanya mambo yake, Dunia itaingia kwenye matatizo makubwa,hasa ukizingatia mzozo wa Marekani,Urusi,NATO,
Ulaya na Ukraine.
Urusi ifanye nini baada ya kuzingirwa na NATO? Ikae isubiri kuharibiwa kabaada ya kuzingirwa na nchi za NATO ambazo zote zimelenga makombora yao kuelekea Urusi?Haiwezekani,lazima ijihami.
Marekani imeziharibu Iraq,Libya,Syria ambazo zilikataa au zinakataa kushirikiana nayo,na zinataka kushirikiana na Urusi.Urusi inapojaribu kujadili kwa amani uwezekano wa kuweka kituo chake cha Jeshi la Wanamaji kwenye Bahari Nyekundu na Sudan, Marekani inataka kuipindua serikali ya Sudan!Yaani kila Urusi inalofanya Marekani ina-ingilia kati.Wakati mwingine kwa amani,lakini wakati mwingine kwa kutumia sheria na mikataba fake. Mara nyingi kupitia rushwa na nguvu.
Hata hivyo si muda mrefu sana ujao,Warusi watagundua kuwa Marekani haita-waacha salama.Utambuzi huo utakapotokea, kutakuwa na chaguzi mbili tu kwa Urusi ambazo zimesalia: kuiangamiza kabisa Marekani au kuikubali kama ilivyo.
Source:
Ruthless! U.S.A. Foments Coup d'etat in Sudan Just Two months After Russia's Approach
Two months ago, on February 9, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov visited the African nation of Sudan. One of the topics discussed: A Russian...
halturnerradioshow.com
Related story:👇
Pentagon preparing armed mission in Sudan
The African nation has been gripped by violent clashes amid a power struggle between the government and paramilitary forcesSmoke is seen rising amid clashes between government and paramilitary forces in Khartoum, Sudan, April 19, 2023. © AP / Marwan Ali
The US military has deployed additional troops and equipment to Africa to prepare for a possible evacuation of American personnel in Sudan, where fierce fighting with rebels has left hundreds dead and injured.
Soldiers have been positioned at a key US base in Djibouti, Camp Lemonnier, in anticipation of an evacuation mission for employees at the US Embassy in Khartoum, the Associated Press and Politico reported on Thursday, both citing unnamed officials. The embassy includes around 70 American staffers.
In a statement issued on Thursday, the Pentagon said it had deployed additional “capabilities” in the region as part of “prudent planning for various contingencies,” but stopped short of confirming any upcoming operations, and did not specify where the troops would be stationed.
READ MORE: Warring sides agree to 24-hour ceasefire in Sudan
While National Security Council spokesman John Kirby said President Joe Biden had “authorized the military to move forward with pre-positioning forces and to develop options,” a decision to withdraw US diplomatic staff has not yet been made.
Planning has reportedly been underway since Monday, when a US Embassy convoy came under attack by rebel gunmen, according to Secretary of State Antony Blinken. He noted that no Americans were harmed in the assault, while a department spokesman said the US envoy to Sudan, John Godfrey, was not present during the incident.
An evacuation mission would carry risks, as the airport in Khartoum is out of operation and some roads out of the city are under the control of militants. If a secure landing area cannot be located, the evacuees could be forced to make a 12-hour drive to Port Sudan on the Red Sea, more than 500 miles (800km) away from the capital, officials told AP.
The security situation in Sudan has quickly deteriorated in recent days, with battles erupting between the country’s paramilitary Rapid Support Forces (RSF) and the government last week amid a dispute over the formal integration of the RSF into Sudan’s military.
READ MORE: Armed conflict in Sudan: What you need to know
The RSF played a major role in the 2019 ouster of Sudanese President Omar al-Bashir, who had been in power for 30 years prior to the coup. A power-sharing deal was later struck with the rebels in order to transition back to a civilian-led government, including provisions requiring the RSF to officially merge with the armed forces. However, the militia has resisted integration with the army, reportedly due to disagreements over who should serve as commander in chief.
At least 270 people have been killed and more than 2,600 others injured in the fighting so far, the World Health Organization has estimated, citing Sudan’s Health Ministry. Though the warring parties agreed to a ceasefire deal on Tuesday, the violence has not abated, with renewed clashes reported just hours after the truce was announced.