Twiga Stars yaibuka bingwa kwenye michuano ya Cosafa kwa kuifunga Malawi 1-0

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,818
4,569
1633793129508.png

1633792233905.png

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake imeibuka Mabingwa wa COSAFA kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Malawi katika michuano ya COSAFA ya wanawake iliyokuwa inaendelea Afrika Kusini, goli la Tanzania lilifungwa na Enekia dakika ya 64.

Mechi hiyo ilipigqwa katika dimba la Nelson Mandela huko Afrika Kusini

Nahodha wa Twiga Stars, Amina Billal ametangazwa kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo
 
View attachment 1969457
View attachment 1969448

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake imeibuka Mabingwa wa COSAFA kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Malawi katika michuano ya COSAFA ya wanawake iliyokuwa inaendelea Afrika Kusini, goli la Tanzania lilifungwa na Enekia dakika ya 64.

Mechi hiyo ilipigqwa katika dimba la Nelson Mandela huko Afrika Kusini

Nahodha wa Twiga Stars, Amina Billal ametangazwa kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo
Hakika vijana wamenikosha sana.
 
Aisee hawa wapo vizuri!

Wameshinda games zao zote kuelekea final, ukiacha semi - final yao na Zambia ambayo walienda hadi matuta.

Hongera zao
 
9 October 2021

Tanzania wins the 2021 COSAFA Women's Cup title by beating Malawi 1-0 in the final of the competition.

Source : Zambian soccer updates

Hawa ndiyo wawakilishi wetu Kimataifa, wanafanya vizuri na kulitangaza jina na kupeperusha bendera yetu ngazi za juu kimataifa.

Michezo ni sehemu ya diplomasia ya kuitangaza nchi ulimwenguni iwe Olympics CECAFA COSAFA CAF FIFA , WORLD CHAMPIONSHIP n.k na Michezo ni kutangaza utalii, nafasi za ajira ya mchezaji wa kulipwa, Michezo ni afya na michezo ni siasa.

Hongera timu ya Twiga Stars .
 
Kuna mwingine anacheza kavaa shungi
 
Back
Top Bottom