Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

Ameacha/ataacha legacy gan tangible as PM?urais ni zaidi ya kuwa kachero ni zaidi ya kuwa katikati ya kambi mbili hasimu!
 
Mkuu kwa kweli Mungu apishilie mbali. Ila uelewe ni Mungu huyo huyo ajuae yaliyopo na yajayo. Hata wewe ulipaswa kuelewa kuwa kwa raia hawa hawa tulio nao haswa vijijini bado ccm itaendelea kutawala kwa vipindi vingi vijavyoviwe kwa kura halali au kinyume chake. Usijidanganye na mifano ya nchi jirani za Kenya na Zambia. Kuhusu usafi wa mgombea uraisi toka ccm kila mmoja ana kashfa zake za ufisadi ila wanatofautiana viwango. Kuanzia maraisi wote wastaafu mbali ya Julius Nerere na hata aliepo madarakani kila mmoja ana kashfa zake. Mnaweza kuhoji kwani hao wanaopendekezwa mbona hawajawahi kuwa maraisi au mawaziri wakuu jibu ni kuwa wana mapungufu ya kiuongozi na hata uzoefu. Lowassa ni kweli amehisishwa na kashfa ya richmond akiwa waziri mkuu na hata hivyo hajawafikia wa escrow acc. Mmesahau huko nyuma kwenye kikao chao cha nec alipobanwa alidai ni kipi alichokifanya ambacho mkuu wake(raisi) hakukijua? Alipotaka kumtimua richmond mbona mkulu alimwambia amsubiri kwanza arudi nchini. Aliporudi nini kiliendelea. Hivyo Lowassa alitolewa kafara tu. Kwa vyovyote vile mtu sahihi kabisa toka ccm kwa nafasi ya uraisi kwa wakati tulio nao ni Nguli Lowasa. Kama ni usomi anao uthubutu na maamuzi magumu kwa wakati muafaka ni yeye, anazijua fika shida za wananchi na anaifahamu nchi kwa vitongoji vyake na mwisho ana uzoefu wa uongozi. Ccm mmetahadharishwa mara nyingi kumwacha Lowasa dr.Slaa anachukua nchi na ccm kitapasuka sana. Muoneni Lowassa kama mtaji wenu kwa sasa au muonje joto la jiwe.
Mkuu kama kuna ambaye hata kuelewa basi atakuwa na matatizo makubwa sana sana.....umenena na kutoa maelezo yenye mashiko.........hongera sana kaka
 
Habari ipi ni sahihi kule tumeambiwa LOWASSA kwa uvccm walio hojiwa ana 68 % na pinda 10% wanaccm tuache kukurupuka ndio maana tunachekwa na upinzani kuwa hatuko makini
 
msd hakuna madawa nyie mwandaa mada za upambe, ufisadi mmeshindwa shughulikia mnawaza tu nani awe kiongozi...andikeni mapungufu yao ili wajifunze mapema sio kujipendekeza tu kwa njaa zenu...
 
Katika siasa hujui chochote, yaani katika mikoa iliyotajwa hapo hakuna mkoa ambao kuna mbunge wa upinzani? Nyambafu kabisa

wewe kweli kichwa maji!! nimesema mikia mingi sio yote kama ulivyonukuu.



Moro,ruvuma,rukwa,njombe na kagera uliyotaja INA wabunge wa upinzani?
 
Ngoja mjisahau mtashangazwa na kishindo cha Stephen Masato Wassira
 
It is unbecoming for a educated/learned person to argue on these figures which are very biased. At least when you want to lift up a person try to be objective to your followers. Is it possible to clap your hands and be cheerful of these results which one can cook and come up with such conclusions!!!!!
 
Umefika wakati wa kuacha ushabiki usiokuwa na maana.

Kwanza sikubaliani kwamba Pinda na Membe ni wahuni! Hapana hawa sio wahuni wanaweza kuongoza kwa sbb kiongozi haongozi peke yake anakuwa na watu wengine nyuma yake kwa ajili ya kusaidia, mfano rais ana wasaidizi ambao ni waziri mkuu, wakuu wa mikoa, wilaya, makatibu na maRAS na wengineo wengi ambao hao ndiowasimamizi haswaaaa yeye anabaki kuwa kiunganisshi na msimamizi wa kuhakikisha kika kitu kinakwenda vizuri.

Pinda na Membe wangeweza pengine mmoja wao kuwa rais kama tu Lowassa asingekuwa na nia ya kuwania kiti hicho ama kama hatagombea jambo ambalo ni gumu kama atakuwa hai.

Kiunganishi dhaifu unaowaunganisha hawatakutii na matatizo yake tunayaona hata leo. Kwa taarifa yako Lowasa hajabadilisha na hatabadilisha nia ya kugombea nafasi hiyo ya uraisi na atakuwa hai na afya njema kama unavyomuona sasa. Niletee picha yake akiwa amesinzia kwenye kikao chochote.
 
Wanalipwa na nani kufanya tafiti hizi? Watuache hatuhitaji tena upuuzi kama wa Synovet.

Namuheshimu sana Rakesh lakini huku sasa anataka kujivunjia heshima yake bure, watu wana hasira halafu leo utuambie eti Ccm inapendwa kwa 54% this is totaly stupidity.
Wewe ndo mjinga unaebishana na utafiti kutuliza hisia zako za kwenye kahawa.unataka kulazimisha chadema.inakubalika kwa kujilisha upepo.huo ni utafiti wa kitaalamu
 
Show me the RESULTS & Figures of PREFERRED PRESIDENTIAL CANDIDATE COMING FROM HEAVEN...!!!!

Show meeeeeeee....!!!!!! 👏👏👏👏👏👏👏👏
💪💪💪💪💪 Lowasaaaaa 2015...!!!!! CCM sio wajinga mnavyofikiria kuhusu Lowassa...wanasoma upepo na nyakati...!!!!!




It is unbecoming for a educated/learned person to argue on these figures which are very biased. At least when you want to lift up a person try to be objective to your followers. Is it possible to clap your hands and be cheerful of these results which one can cook and come up with such conclusions!!!!!
 
Twaweza......mafara tuu kikundi kisicho na maono ya kizalendo


Go back to class, learn ' L' and 'R'.....then u come back Feb 2016....uje uchangie with swahili sanifu..!!! Wakati ©©© Mzee EL ni Mr. President...!!!
 
utafiti gani unahusisha wagombea wa chama kimoja? nchi hii si ni ya vyama vingi? au wenzetu twaweza hilo hawalijui?
 
Back
Top Bottom