Twaweza kutangaza matokeo ya utafiti wao kesho

utafiti inategemea sample na mfanya utafiti anaweza akawa biased mfano ukienda kariakoo ukawauluza nani anafaa kuwa raisi pia ukaenda masaki nazan majibu yatakuwa tofauti so inategema unataka matokro gani ukweli ni 25 oct
 
Haha mbona Team Mabadiliko mnajihami? Sijawahi kuona watu waoga na defensive kama kundi hili - ama kweli imekuwa vice versa. Ukawa ni kama incumbent while CCM ni challenger! Sasa kuwa live eti ni CCM? Tena on ITV? Mara Obama! Kazi ipo!

Wazungumzaji wakuu ndio wa nafanya watu washtuke
 
HUO UTAFITI WAMPELEKEE...JEIKEI!
MAKAMANDA HATUWEZI KUWA WADANGANYWAJI NA PRO C.C.EM KWA HADITHI ZA KIPUUZI ETI UTAFITI WA TWAWESA ILHALI C.C.EM WAMEWAWEKA KWENYE KAPU LA RUPIA...??


MFANO:-WHO IS MARI....!!??....khahahahaaaaa.......!

-WHO IS PROF:...khahahaaaa.....!
--NA WALAANIWE WOTE WALIO NA MIKAKATI YA HILA ....KWA SIR.E.L...."
 
HUO UTAFITI WAMPELEKEE...JEIKEI!
MAKAMANDA HATUWEZI KUWA WADANGANYWAJI NA PRO C.C.EM KWA HADITHI ZA KIPUUZI ETI UTAFITI WA TWAWESA ILHALI C.C.EM WAMEWAWEKA KWENYE KAPU LA RUPIA...??


MFANO:-WHO IS MARI....!!??....khahahahaaaaa.......!

-WHO IS PROF:...khahahaaaa.....!
--NA WALAANIWE WOTE WALIO NA MIKAKATI YA HILA ....KWA SIR.E.L...."

Ccm naisi wamekosa wakali wa kupanga mambo ..wamebaki vijana maslai... Ata paka wanaelewa tz nan yuko juu mikoa yoote..mikoa yotee.tusubiri
 
Twaweza opinion poll to be released tomorrow, Magufuli leads by 68% followed by Lowassa by 22% etc. In terms of parliament CCM 55%, UKAWA 33%, ACT 14% etc.
Let wait and see!
 
Maria Sarungi ukicheki page yake ya TWEETER ni CCM damu na anampigia kampeni MAGUFULI na kumponda LOWASA.
Hapo tunadanganywa tu.
 
Yaani watakuwa live kwenye TV kwa ajili ya kutangaza matokeo ya utafiti wao! No way! I smell something.

Vv
 
Ivi hii nchi inawasome kweli?? Maria sarungi ni kada wa ccm anawezaje kufanya utafiti na kutangaza matokeoa. Ni sawa na mchezaji wa yangu kuchezesha mechi ya simba na yanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom