TVs sets with built-in decoder

Log

Member
Nov 27, 2010
78
45
Nijulisheni waungwana je ni TV set zipi zina built-in decoder?
maduka ya hapa TZ.
 
Mi nimenunua ile ya startimes ina chanel zake ndani kwa ndani huna haja ya dicoder

Nijulisheni waungwana je ni TV set zipi zina built-in decoder?
maduka ya hapa TZ.
 
Je kila station itakuwa na decoder yake? say startimes, TING, others
 
Back
Top Bottom