Tv ya asili inamtesa mke wangu.

Mkeo anaendeleaje? Umesha fanya effort gani zaidi kumkomboa?
 
Mpwa, sikumruhusu aende kwa waganga, ameenda kwa shinikizo la majirani. Mimi ningekuwepo yote yasingetokea.

Kiranja Mkuu; Pole sana kaka, hawa ndiyo wake zetu hawa. Hawajui kuwa mkioana ni mwili mmoja alipaswa kukushirikisha kabla hajaenda, Hapo utakuta ooh sikujua yangekuwa haya. Ndiyo mambo ya dunia lakini.
 
Kama nilivyosema mwanzo hilo si tatizo la huyo mganga, kuna makabila mengi yanakula/kunywa damu, tena mbichi na wanadunda. Sina haja hapa ya kumtetea mganga ila kwa hili la mganga "wajinga ndio waliwao".

Nipo hapa kusisitiza kuwa huyo dada anatumia mkorogo tena si wa kujipaka pekee, kaanza kukandamiza na vidonge na/au sindano. Hayo ndio maafa ya kutak weupe wa haraka na tusiokuwa nao.
Huyo mkeo analijuwa hilo na hilo la mganga ama anakudanganya ama kapatia sababu ya masahibu yaliyomkumba baada kupata dozi za mkorogo. Hakuna zaidi, ni hilo tu.
 
Mwambie Yesu, mwambie Yesu, Mwambie Yesu, mwambie Yesu anaweza.
Unalikumbuka hili pambio?
 
Kama nilivyosema mwanzo hilo si tatizo la huyo mganga, kuna makabila mengi yanakula/kunywa damu, tena mbichi na wanadunda. Sina haja hapa ya kumtetea mganga ila kwa hili la mganga "wajinga ndio waliwao".

Nipo hapa kusisitiza kuwa huyo dada anatumia mkorogo tena si wa kujipaka pekee, kaanza kukandamiza na vidonge na/au sindano. Hayo ndio maafa ya kutak weupe wa haraka na tusiokuwa nao.
Huyo mkeo analijuwa hilo na hilo la mganga ama anakudanganya ama kapatia sababu ya masahibu yaliyomkumba baada kupata dozi za mkorogo. Hakuna zaidi, ni hilo tu.
Vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom