mabina
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 216
- 26
Jamani hivi ni lazima kila kitu kionyeshwe TBC? Sio siri mi TBC wanankera sana coz wanataka kila kitu/tukio walionyeshe ila hawawezi, mifano mizuri mataifa huru 2010 TBC walionyesha lakini ni baadhi ya mechi angalia jinsi KILI MUSIC AWARD walivyoboronga walalahoi tunasubiri kwa hamu ktazama LIVE,tunaonyeshwa vipengele pengele, chakushangaza zaidi wanakatisha matangazo hayo wantuwekea filamu, kwa upande wangu iliboa.
ONI LANGU KWA TBC
Sio kila kitu wakionyeshe wao, tiari mmeshajulikana mnauwezo zaidi lakini wapeni nafasi nawengine maana vipindi mnavyo vingi zaidi ya ratiba zenu.
Badiriken tusikarie sifa tu ya kutazama TBC lakini mpanglio mbaya!!!!!!