TV/Radio za majumbani na watazamaji wake

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,165
Hivi kwa nini watu wanaoshinda nyumbani kila siku hujiona wao wana haki ya kuangalia vipindi watakavyo kwenye Tv na kusikiliza wapendacho redioni?

ukitoka kazini ukataka kubadili wanakuona 'Intruder' sijui kwa nini hawakumbuki wao kuwnzia asubuhi walikuwa wapo.

duh, mie hushangaa kwa kweli!
 
Dawa ni kununua ya pili weka chumbani kwako.BASI
 
Hawataki, kila mtu ana program yake anataka kuangalia

mi nadhani wanafikiri ukishavuka miaka 48 unakuwa hauna interest tena.

Unasema tu ungependa kuangalia kitu kingine na kubadilisha.
 
Back
Top Bottom