Hapana. Nyerere hakuwa msomi. Umeshamhukumu kama mbabaishaji flani atakuwaje msomi? Tunawasubiri wasomi mashehe waandike upya historia "sahihi" ya Tanzania. Mohamed Said kajitahidi lakini naona bado hajalifikia lengo lenu.Hivi Nyerere naye alikuwa ni msomi?.....Kivyovyote vile hakuna ikhtilaafu kuhusu uwezo wa Nyerere kuongoza nchi! uwezo wake ulikuwa zero na nchi ilimshinda.
Mtake msitake historia sahihi ya Tanzania itaandikwa upya na Nyerere atakwenda kwenye vitabu vya Historia kama mbabaishaji flani tu.