TV Panasonic Viera inch 50 for sale

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
used Panasonic Viera (model no. TX-P50G10B) inch 50” 1080p HD Plasma for sale,
Tv Haina tatizo lolote, Ni Hali ngumu tu.
Bei; Laki Saba tu + risiti,
Location; Mbeya
Call; 0768540772,njoo na fundi ukague na kubebaaa
 
Picha
picture6.jpg
picture4.jpg
picture.jpg
 
Unaweza gawanyisha screen yaani tv 1 na tv 2 kwabpamoja unaangalia?
 
Mzee kwa bei hiyo au hata nusu yake Huwezi kuuza hapa JF, labda uzunguke nayo mitaani hukohuko MBEYA hususani vijijini unaweza kumpata mteja asiyejua TV.
Mzee waliopo mtaani ndio hawa wapo humu
 
Duh!
Iki chuma kinatafuna umeme balàa 435watt

Yaani ukiliwasha,
Kila baada ya mawili Unapaswa kuingiza umeme wa BUKU.

INSHORT,
Ukiliwasha siku nzima yenye masaa 24, Litatafuna umeme wa 12,000

Ambapo UKIMILIKI iyo TV,
Unapaswa kuligharamia 360,000 kila mwisho mwezi kuenjoy burudani.

All the best mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom