Tuzo ya Forbes ni Uongo, wapotoshaji wakamatwe na kufikishwa mahakamani

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
Tangu juzi kumeibuka umbeya mitandaoni na magazetini tena yale ya kuaminika yanaripoti kwamba Rais Magufuli ni mmoja ya watu wanaowania tuzo ya mtu bora wa Afrika kwa 2016, akiwekwa na watu ambao kimsingi ni watu wa mtaani tu yaani raia.

Hakuna Forbes Afrika iliyotangaza orodha ya washiriki wa shindano la mtu bora Afrika 2016, labda Foobesi ya Lumumba na Masaki. Kinachofanyika ni propaganda za kitengo cha Lumumba tu kutuondoa kwenye mijadala ya kitafa...

Ukitaka kujua nenda gugo tafuta ukweli... Forbesafrica.com hakuna kitu kama hicho... Zaidi utakuta vitovuti vya kijinga mfano hiki kinaitwa africanews.com nk ambavyo IP Adress sinasoma humuhumu wala sio kwa Mzungu...

Lakini kubwa zaidi wengi wamedanganywa na tovuti hii http://www.poy2016.com. Hii ni maghumashi tu sio shindano la Forbes Afrika... Ni maalumu kwa kazi maalumu tu.

Kwa mwaka 2016 mshindi ni huyu mama na shindano litafanyika 2017....

Umbeya na ushakunaku wenu kuwamalizia bando vijana wetu uishie hukohuko Lumumba, acheni kumdhihaki rais wetu.

Na Yericko Nyerere

N.B
Tovuti rasmi ya Forbes ni hii.. Forbes Africa Magazines hakuna hilo shindano Kwa sasa..Pia ukapitia twitter ya Forbes Africa (verified page) Hukuna Shindano kama hilo

Kama wapotoshaji wapo hapa Tanzania wakamatwe na kufikishwa mahakamani...

Huu ni uchochezi!

==============
Werevu tumejaribu kufuatilia hiyo pulling, tumejaribu mpaka kuwasiliana na waendeshaji wa shughuli hizo ni kwamba hakuna kitu kamba hicho, mmebuni promo za kitoto sana, kama mtu anapendwa atapendwa tu msitufanye Watanzania kua ni wajinga, Hii taasisi bado haijaanza na haijainisha watu wa kuwekwa mezani kuwashindanisha. Sasa ninyi mnajitungia kumdanganya nani? Subirini wenyewe wapange wao kama wataona umihimu wa kumhusisha JPM basi wataamua wao kulingana ns vigezo vyao.

Kuna mwingine nae kaja na ya Taasisi ya uingireza ya Public opinion, huyu nae hakuna na tofauti na wale wa Forbes japo walikua meza moja. Ni vichekesho sana, emdeleeni kubuni hayo na mjipigie kura ninyi wenyewe na mjipongeze ninyi. Kaazi kweli kweli.Yaani wenzetu kwa sasa wanatucheka sana jinsi tulivyo wavivu wa kufikiria, tunapenda uongo uongo tu na ndio maana taifa letu halisongi mbele.
 
Tangu juzi kumeibuka umbeya mitandaoni na magazetini tena yale ya kuaminika yanaripoti kwamba Rais Magufuli ni mmoja ya watu wanaowania tuzo ya mtu bora wa Afrika kwa 2016, akiwekwa na watu ambao kimsingi ni watu wa mtaani tu yaani raia.

Hakuna Forbes Afrika iliyotangaza orodha ya washiriki wa shindano la mtu bora Afrika 2016, labda Foobesi ya Lumumba na Masaki. Kinachofanyika ni propaganda za kitengo cha Lumumba tu kutuondoa kwenye mijadala ya kitafa...

Ukitaka kujua nenda gugo tafuta ukweli... Forbesafrica.com hakuna kitu kama hicho... Zaidi utakuta vitovuti vya kijinga mfano hiki kinaitwa africanews.com nk ambavyo IP Adress sinasoma humuhumu wala sio kwa Mzungu...

Lakini kubwa zaidi wengi wamedanganywa na tovuti hii http://www.poy2016.com. Hii ni maghumashi tu sio shindano la Forbes Afrika... Ni maalumu kwa kazi maalumu tu.

Kwa mwaka 2016 mshindi ni huyu mama na shindano litafanyika 2017....

Umbeya na ushakunaku wenu kuwamalizia bando vijana wetu uishie hukohuko Lumumba, acheni kumdhihaki rais wetu.

Na Yericko Nyerere
Acha wapate faraja japo ya muda mfupi maana kila kona ni malalamiko na laana.
 
kama ni uongo waniombe radhi kabsaa maana huu utakua utani wa ngumi kwakwel
 
Attachments

  • 1477502155875.jpg
    1477502155875.jpg
    72.5 KB · Views: 90

Back
Top Bottom