Kwanini bodaboda wengi wanapenda kuning'iniza viatu?

habarini,jamani mimi nimekua na maswali tofauti juu ya ni kwanini boda boda wengi hasa wa mtaani wanapenda kuendesha huku wameninginiza kiatu kama kinataka kuanguka ila bado sijapata jibu,hivi ni swags tu ama kuna kitu inawasaidia maana mmmhhh ni wengi sana wanaopenda kufanya hvyo...tupia maoni yako juu ya hili..
Hiyo ni swag tu mkuu inayotrend kwa sasa kwa waendesha bodaboda!
 
mm pia huwa najiuliza, labda wanapata uroda...

maana hata mimi kipindi naendesha baiskeli nilikuwa naona uroda pale nikiachia mikono kwenye sterling ya baiskel
Nikajua watu wa bukoba wanaendeshaga bugatti, Lamborghini kumbe hadi baiskel
 
Ila wengi wa wanaofanya hivyo ni wale wasiokua na majukumu wanyoa viduku wengi sana wanapatina uswahilini
 
Wauza unga, walianza kunin'giniza juu ya nguzo ya umeme ss wanasambaza wakati wote sio kuwa na kituo maalum.
 
Binafsi huwa sipandi bodaboda za waning'iniza ndala,ukiwafuatilia kwa umakini jamaa hao wapo rafu ile mbaya.Tulia na uchunguze kwa makini utakubaliana nami.
 
Wananinginiza ka mguu,na huku amekaa kiupande upande kama vile anaumwa na kiuno.
Bega moja likiwa chini na lingine juu.Swag ni shida asee
 
Wananinginiza ka mguu,na huku amekaa kiupande upande kama vile anaumwa na kiuno.
Bega moja likiwa chini na lingine juu.Swag ni shida asee
heheheeh yaani umetisha umeelezea vizur na hiyo ndo hali halisi,naomba tusaidianeni kupata picha
 
Huyu hapa
IMG_20140813_154329.JPG
 
Huenda labda abiria wanasahau vivazi hivyo ndani ya bodaboda
 
Back
Top Bottom