Tuweke kumbukumbu sawa, Bethlehem alikozaliwa Yesu sio Israel, ni Palestine

Welcome mkuu
IMG-20171223-WA0023.jpg

Merry christmas
Numbisa ata mualiko wa sikukuu?
 
Ndo unajua Leo? Sisi tunamjua kuliko nyie mnaodhani kuwa ni Mungu! Ndo maana tunaamini maeneo yote matakatifu ni yetu, including Bethlehem na Jerusalem!asilimia 37 ya wakaxi Wa Jerusalem ni waislam Kwa taarifa yako, , wakati wakristo ni chini ya aslimia 2
Na huo ndiyo utimilifu wa maneno yale yaliyomo kwenye Injili ya Yohana. 'Hapo mwanzo kulikuwepo na NENO (Yesu), naye NENO alikuwepo kwa MUNGU, naye NENO alikuwa ni MUNGU (Yesu). Hakuna chochote kilichoweza kufanyika pasipo YEYE (Yesu). ... Akaja kwa walio wake, walio wake hawakumtambua, walio wake hawakumpokea (Wayahudi). ..... Bali wale waliompokea aliwafanya kuwa wana wa MUNGU (mataifa na wayahudi wachache). ...... Yeye ni NURU (Yesu), nayo NURU hung'aa gizani.

Kuwepo kwa wakristo wachache Uyahudi au Palestine, hakubatilishi ukuu na mamlaka ya Mungu, bali ni utimilifu wa maneno ya MUNGU mwenyewe.

Manabii mbalimbali walimtabiri MASIAH, walisema atakataliwa, atauawawa na watu wake (WAYAHUDI), atauawawa kwa kifo cha aibu lakini yeye atanyenyekea kama kondoo anayepelekwa machinjioni. Naye atachomwa mkuki (watamtazama yeye aliyechomwa mkuki).

Suala la Palestina, mji wa Jerusalem na miji mingine inayoelezea historia ya wokovu kwa wakristo, na miji mitakatifu kwa Waislam, siyo suala rahisi kama wengi tunavyodhania. Wayahudi wamepokonywa miji na nchi/ardhi mara nyingi kuliko Taifa lolote katika historia ya Ulimwengu, kuanzia na kabla ya Yesu. Wayahudi ndio walowahi kupigana vita vingi kuliko Taifa lolote katuka historia ya Dunia, na huenda ndiyo Taifa lililowahi kupitia magumu mengi katika historia ya Dunia kuliko Taifa lolote Duniani.

Yote hayo Mungu aliyaruhusu kama adhabu kwa wana wa Israel kila walipojitenga na Mungu wa kweli. Lakini kila mara walipomwangukia, aliwarudisha katika ardhi yao kwa nguvu yake mwenyewe kutokana na ahadi aliyomwahidia Ibrahim.

Kaduri ya maandiko ya biblia na historia, Waarabu ni uzao wa Ismailia, mwana wa Ibrahim kwa kijakazi aliyefukuzwa na Ibrahim kwa takwa la mkewe lililoridhiwa na Mungu mwenyewe. Wapalestina ni wana wa Essau, pacha wa Yakobo. Uadui wa Essau na Yacob ulianzia tangu tumboni mwa mama yao. Na kwa ahadi ya Mungu, ni kwamba hawatakuja kushikamana kamwe.

Lakini pia kati ya baraka alizopewa Yakobo (Israel), ni kwamba, popote atakapokwenda, kila vita atashinda, na kaka yake atakuwa chini yake. Haya yapo katika kile kitabu cha Agano la kale ambacho Wayahudi na Wakristo, wote wanakitumia katika imani yao japo katika maeneo mengine wakiwa na tafsiri tofauti.

Kwa imani ya Wayahudi, maeneo yao yote waliyoyamiliki baba zao tangu kale, ambayo baadaye yalikuja kukaliwa na wageni, yote yatarudi, na adui zao hawatawashinda. Wayahudi wengi hawaamini juu ya mazungumzo yoyote kuhusu kurudishwa kwa maeneo yao yaliyotwaliwa.
 
Quran inajichanganya sana aisee, YAANI HATA ALICHOFANYA HUYO ISA KWENYE QURAN hakifanani na chochote kwenye BIBLIA ALICHOFAYA YESU

sasa unalazimisha YESU NI ISA

acha bangi,
Unataka kifananeje zaidi ya kusali kwa kusujudu na kujitangaza yeye ni Mtume wa Allah? Hata kwenye biblia amesema WAKUJUE MUNGU WA PEKEE NA WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA...
 
Wachana na mtende,,, mbona huzungumzii Issa wa bikira maria? wa makabila 12 ya wanaume wa ISRAEL,,, wewe kabila gani mkuu?na kwann WAGALATIA mnabatizwa?
Pamoja na imani yangu haba ila naanza kutilia shaka ukweli wa mafundisho ya uislam! Inaonekana ni full of plagiarism na editing+modifying!! Wanaposema kuwa Mtume Mohammad ndiye aliyeshushiwa kitabu kisicho na shaka huku wakishindwa kukanusha kuwa Mohammad amezaliwa miaka zaidi ya 600 baada ya Yesu,na hapo hapo wakichomekea kuwa Nabii Ibrahim naye aliyeishi mamia ya miaka kabla ya Yesu na Possibly maelfu ya miaka kabla ya Mohammad eti naye alikuwa muislam ndiyo mnatuchanganya kabisa! Bora mungesema kuwa Ibrahim alikuwa m-Budha au M-tao mungeeleweka vyema zaidi,ila hii ya Adam kuwa mwislam ni fix ya dharau kabisa!
 
Unataka kifananeje zaidi ya kusali kwa kusujudu na kujitangaza yeye ni Mtume wa Allah? Hata kwenye biblia amesema WAKUJUE MUNGU WA PEKEE NA WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA...
Wap mudi kawahi kufanya hata muujiza wa kufufua mende?
 
Nimekuta ubishani wa nchi alozaliwa Yesu. Kwamba mji huu wa Bethlehem upo Israel au Palestine? Jibu sahihi ni kuwa Bethlehem IPO nchi ya Palestine ambako 95 % ni waislamu. Ni mji uliopo kusini mwa Jerusalem. Kama Bethlehem IPO mikononi mwa waislam, basi Jerusalem pia itaingia mikononi mwao. Hii ni ahadi katika zaburi na Qur'an.
Hii ni kutokana na jinsi UNO ilivyogawanya maeneo 1947.Eneo lote lilikuwa chini ya waingereza hapo Kabla.
 
Uislam ulikuwapo tangu baba yetu Adam,,, kama YESU amesema sikuja kutengua torati Bali nimekuja kuitimiliza,,, na torati ni kitabu cha Mussa,, na MUSSA alikuwa muislam,,, means hata YESU alikuwa Muslim,,,, muulize MCHUNGAJI kwa nn mnabatizwa,,,, utapata majibu
Hili halihitaji kuuliza jibu lipo wazi, maandiko yanasema atakaye amino na kubatizwa ameokoka. Hivyo jibu ni hilo.
 
Uislam ulikuwapo tangu baba yetu Adam,,, kama YESU amesema sikuja kutengua torati Bali nimekuja kuitimiliza,,, na torati ni kitabu cha Mussa,, na MUSSA alikuwa muislam,,, means hata YESU alikuwa Muslim,,,, muulize MCHUNGAJI kwa nn mnabatizwa,,,, utapata majibu
Hili halihitaji kuuliza jibu lipo wazi, maandiko yanasema atakaye amino na kubatizwa ameokoka. Hivyo jibu ni hilo.
 
TATIZO MUHAMAD KAWAINGIZA CHAKA, HUYO IBRAHIMU WA QURAN BABA YAKE ANAITWA AZAR, ILA YULE IBRAHIMU WA BIBLIA ALIYEZAA YAKOBO NA ESAU BABA YAKE ANAITWA TERA

mudy kawapoteza tena maana alikuwa na shetani kichwani

Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa “Mtume (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa” (Fat’hul baary, Juzuu ya 6 uk 89)

Hivyo Muhammad pamoja na Ibrahimu wa ndani ya Qur’an wote hao ni watumishi wa shetani, ambaye amekuwa pamoja na Muhammad wakati wa kuzaliwa kwake, na isitoshe Ibrahimu wa ndani ya Qur’an yeye alienda va Ismaili Makka.

Qur’an 2;127 Na (kumbukeni khabari hii pia) Ibrahimu alipoinua kuta za nyumba (hii Al-kaaba) NA Ismaili (pia)………

Wakati Ibrahimu wa ndani ya BIBLIA yeye hakuwa kabisa kufika Makka, ila alifika katika Mlima Moria ambapo lilijengwa hekalu na Mfalme Sulemani huko Yerusalemu

Mwanzo 22;2 Akasema umchukue mwanao , mwana wako wa pekee umpendaye Isaka, ukaende zako mpaka Nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmoja wapo nitakaokuambia.

2Nyakati 3;1 Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba za BWANA, huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye, alipotengeneza mahali pale alipoagiza Daudi katika kiwanja cha kupuria cha arauna Myebusi.

Hivyo Ibrahimu wa ndani ya Quran siyo Ibrahimu wa ndani ya Biblia, kwani hata wazazi wao ni wawili tofauti, maana baba wa Ibrimu wa ndani ya Biblia yeye anaitwa Tera.

Mwanzo 11;26 Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori, na Harani.

huyu Abramu ndiye Ibrahimu, ambaye alibadilishwa jina baada ya kuzaa na mjakazi aitwae Hajiri.

Mwanzo 17;1-5
1 Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, BWANA akamtokea Abramu, nenda mbele yangu ukawe mkamilifu,
2 Nami nitafanya agano langu kati ya mimi na wewe, nami nitakuzidisha sana sana,
3 Abramu akaanguka kifudu fudi, Mungu akamwabia, akasema
4 Mimi agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi
5 wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.

Kwa hivyo baba wa Ibrahimu wa Biblia anaitwa Tera, wakati Ibrahimu wa ndani ya Qurani yeye anaitwa Azari.

Qur’an 6;74 Na Ibrahimu alipomwambia baba yake Azar, “Unawafanya masanamu haya kuwa waungu? Hakika ninakuona wewe na watu wako mumo katika upotevu ulio dhahiri.

sasa inakuwaje Ibrahimu mmoja anakuwa na baba waiwili tofauti? Waislamu mnapaswa kuzinduka kwani mmeuziwa mbuzi kwenye gunia, msione Quran imemlemba sana Ibrahimu, mkadhani ndiye Ibrahimu wa ndani ya BIBLIA, maana siku zote tapeli anapokuja kukutapeli, huwa hakupi taarifa kuwa anakutapeli, bali hujifanya kuwa ni mtu mwema, ili aweze kukuchota akili yako, na umwamini, kama ambavyo unashuhudia fedha bandia, huwa haziandikwi kuwa ni fedha bandia, bali huandikwa ni fedha halali, maana kama wakiandika fedha bandia, basi ni lazima watu wastuke, ndicho alichokifanya Muhammad, kuingiza utapeli wa kumpachika Ibrahimu, feki wa Quran, ili yeye naye aonekane kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu, na kumbe sivyo.

Maana Muhammad yeye katumia mbinu ya kumpamba huyo Ibrahimu wake feki, ili watu waweze kudananyika na kuamini kuwa, mtu kuwa nje na uislamu, ni kuwa nje na mila ya Ibahimu.

Quran 2;130 Nani atajitenga na mila ya Ibrahimu, isipokuwa anaitia nafsi zake katika upumbavu? Na kwa yakini sisi tulimchagua katika dunia; na kwa hakika yeye kaatika akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.

mila ya Ibrahimu wa ndani ya quran ni kuabudu nyota na mwezi

Quran 6;76 Na usiku ulipomwingilia (Ibrahimu) akaona nyota, akanena nyota hii ni mola wangu mkubwa,ilipotua akasema, sipendi waola wanaopotea,
77 Na alipouona mwezi unachomoza, alisema, huu ndio Mola wangu, ulipotua alisema, asiponiongoza mola wangu, hakika nitakuwa miongoni mwa watu wapotofu.

Hivyo waislamu wanaendeleza mpaka leo kuabudu nyota na mwezi, maana ndiyo mola wa baba yao Ibrahimu, na wameziweka misikitini,ili iwe ni uthibitisho kuwa, ni kweli wanafuata mila ya Ibrahimu wa ndani ya Quran, kwa kuabudu nyota na mwezi, wakati Ibrahimu wa ndani ya Biblia, yeye hakuwahi kuabudu nyota, wala mwezi, kama ambavyo Ibrahimu feki wa ndani ya Quran, alivyoabudu, maana yeye aliaambiwa awaamuru wanae waishike nji ya BWANA.

Mwanzo 18;18-19
18 akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia yatabarikiwa?
19 Kwa maana nimemjua ya kwamba, atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake waishike nji ya BWANA, wafanye haki, na hukumu, ili kwamba BWANA naye akatimize ahadi zake.

jambo la msingi la kuzingatia ni kuwa, Ibrahimu feki wa ndani ya Quran, ambaye yeye alikuwa anaabudu nyota na mwezi, hawezi kuwa Ibrahimu, wa ndani ya Biblia, ambaye yeye alishika amri za Mungu.

Mwanzo 26;5 Kwa sababu Ibrahimu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu.

Tena isitoshe Ibrahimu ameitwa rafiki wa MUNGU.

Isaya 41;8 Nawe Israeli mtumishi wangu; Yakobo, niliyekuchagua; mzao wa Ibrahimu, rafiki yangu.

Hiyo Ibrahimu wa ndani ya Quran siyo Ibrahimu wa ndani ya Biblia, hata kama ametajwa kuwazaa Isaka na Ishmaeli, kwani nilivyotangulia kusema kuwa siku zote fedha bandia huwa inakuja na sura kama fedha halali ikicopy vitu ambavyo vipo kwenye fedha halali, ila kuna vitu vingine ambavyo vinakosekana kwenye hiyo fedha bandia, ambavyo humsaidia mtu anaeifahamu fedha halali kugundua kuwa ile ni fedha bandia. Kama ambavyo tumemgundua Ibrahimu bandia wa ndani ya Quran, aliyeletwa kwa sura ya Ibrahimu halali wa ndani ya BIBLIA.
Ni nani alikupa habari kwamba Ibrahim hakuwahi kufika Makkah?
 
tatizo kubwa ni kuwa israel ya sasa watu wake ni fake-wote wahamiaji ambao pale sio kwao kiasiri na palasitina nayo hivyo hivyo wale waarabu nao ni wahamiaji sio wa pale kama iliyo waarabu wa misri walioua watu weusi ili wapate makazi.
wahamiaji kwa wahamiaji wote wanagombania aridhi ambayo sio ya kwao-kweli dunia inavichekesho wa wayahudi halisi wapo wanatanga tanga
 
Hili halihitaji kuuliza jibu lipo wazi, maandiko yanasema atakaye amino na kubatizwa ameokoka. Hivyo jibu ni hilo.
Kubatizwa ni tamaduni za kipagani,,, wapi kwenye bible YESU alibatizwa? akiwa mdogo? Ma kama YESU kaleta UKTRISTO hao wakiokuwa wanabatiza watu kabla ya yeye walitoa wapi mamlaka ya kubatiza watu
 
Ni nani alikupa habari kwamba Ibrahim hakuwahi kufika Makkah?
Leta ushahid kuwa IBRAHIMU MWANA WA TERA aliwahi kufika maka kwenye jiwe jeusi

Labda ibrahimu wa azari ibrahimu fake wa quran

MAANA NI IBRAHIMU WAWILI TOFAUTI, WEWE UNAMUULIZIA IBRAHIMU YUPI? MWANA WA TERA AU AZAR?

Na pia hata Muhammad wenyewe baada ya kuzaliwa alipelekwa kwenye hilo Jengo ambalo watu walikuwa wakitufu uchi kwenda kuombewa dua kwa miungu hiyo.


MAKKA NI KIJIWE CHA WAPAGANI HATA KABLA MUDY HAJATOKEWA NA SHETAN NA KUMPA UISLAMU.....

KITABU CHA MAISHA YA NABII MUHAMMAD UK 5 PARAGRAPH YA YA 3

Pale pale alfjiri alipokwisha kuzaliwa Mtume, alikwenda kuitwa BABU yake kuja kumuona mjukuu wake huyo. Babu huyu alifurahi sana, na akamfunikafunika maguo mjukuu wake, akajikongoja naye mpaka kwenye Al Kaaba. Akafungua mlango akaingia naye ndani akasimama amuombee dua kwa mashairi mazuri ya kiarabu aliyoyatunga mwenyewe wakati ule ule na kisha akarejea naye, na jua bado kuchomoza.
9d34c22e065ada0d6f096407b06482e4.jpg
 
Nimekuta ubishani wa nchi alozaliwa Yesu. Kwamba mji huu wa Bethlehem upo Israel au Palestine? Jibu sahihi ni kuwa Bethlehem IPO nchi ya Palestine ambako 95 % ni waislamu. Ni mji uliopo kusini mwa Jerusalem. Kama Bethlehem IPO mikononi mwa waislam, basi Jerusalem pia itaingia mikononi mwao. Hii ni ahadi katika zaburi na Qur'an.
Soma vizuri historia, acha ushabiki wako wa dini
 
Back
Top Bottom