Tuwe tunahakikisha SMS kabla ya kutuma.

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Kijana mumoja huko manzese amekutana na kipindi kigumu baada ya kutuma SMS kwa mama mweyenyuma.
yeye alikuwa anamweleza kuwa "MAMA NIKO MBALI SANA NINAOMBA KUMAIZIA KESHO ASUBUHI ILI DENI LIISHE KABISA"

kwa sababu ya haraka akaandika
"MAMA NIKO MBALI SANA NINAOMBA KUMAL KESHO ASUBUHI ILI DENI LIISHE KABISA"

Sasa baada ya kuja kesho asubuhi.....
 
Jamii forum Kuna umuhimu wa kufungua darasa kuhusu somo la kiswahili.

Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !

Near by Uyole Mbeya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom