Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
Maji yameingia mdudu.....heri kuchimba kisima chako mwenyewe....ili uyafaidi yaliyo salama kwa afya yako na kuepuka kuishi kwa matumani, chupa kubwa na ndogo zote ni hatari....mengine hupatikana bure....uyatumie uanze kuishi kwa matumaini na baadae ili ufe, yapo yanayopitishwa mitaani ukiomba tu wapewa, na dawa ya mdudu haijapatikana, na mengine chupa safi kama vile ni salama,
........,.......kuwa makini ewe mwenye kiu,,,,,,,!!!!! usije ukaangamia.
........,.......kuwa makini ewe mwenye kiu,,,,,,,!!!!! usije ukaangamia.