GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 4,695
- 6,398
Ingawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena.
Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao hatupo nao tena katika ulimwengu huu, lakini michango yao imeendelea kusimama imara ikiipigania Tanganyika.
Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya kutambua Wazalendo halisi wa Tanganyika walio hai na hata waliokwishatoka katika ulimwengu huu.
Nitawataja wachache kwa sasa, na nitaendelea kuwataja na hata kuwaelezea , ikiwezekana.
Kwa kuanza, hawa ni baadhi yao:
1. Njelu Kasaka
2. Philip Marmo
3. Freeman Mbowe
4. Mch. Christopher Mtikila
5. Mshana Jr
6. Joseph Sinde Warioba.
7. Jaji Kisanga
8. Ahmed A. Mpakani
9. Jenerali Ulimwengu
10. Tundu A. Lissu
11. Askofu Zakaria Kakobe
12. Said Abdallah Nakuwa