TUWALEE vizuri Beki 3 NA KUWAJALI

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Watanzania wengi tumekuwa na mazoea ya kuwadharau watoto wetu
wa kazi....na wengine hasa pale linapokuja swala la kuwaitaji kimapenzi
atuaitaji kuishi kama wanyama hawa ni watoto wetu na wanaitaji upendo kama wa wengine.......
Wamama tumekuwa na matatizo ya kibinadamu sana na hawa ndugu zetu ....ushauri ukiona ama kuhisi mumeo anatembea nao jaribu kuonyesha mapenzi zaidi kwa mumeo na si chuki kwa dada wa nyumbani...

Nanyi madada/makaka wa nyumbani ,tujitahidi kuheshimu ndoa ama uhusiano wa watu mliowakuta...si tu kwasababu una......na bosi wako unaanza kumdharau mkewe...koma tena komeni jitahidi kutafuta wanaume mpate ndoa zenu...na wewe kijana wa nyumbani kama mama anakufanya "KINGAST"UNASHINDWA KUMUHESHMU MZEE.....WACHA BORA UAME....WANAUME SIKUHIZI WANACHINJA BEST.....

Nawatakia mahusiano mema
 
Back
Top Bottom