Tuwalaumu TRA ila tusisahau kua hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi Duniani

Je, wakati hizo sheria za kodi ikiwemo kanuni zake, hao wafanyabiashara walishirikishwa? Je, hizo sheria na kanuni za kodi zinataarifiwa na tafiti zenye ubora wa hali ya juu?
 
Kodi nyingi na kubwa ndiyo chanzo cha yote. Ghana VAT kwa wafanyabiashara wakubwa ni 5%, wafanyabiashara wa kati ni 3% na wafanyabiashara wadogo hakuna VAT.

HAKUNA NCHI ILIYOWAHI KUPIGA HATUA HARAKA YA MAENDELEO KWA KUWA NA KODI KUBWA AU KODI NYINGI.

Kodi kubwa na msululu huua ustawi wa Taifa.
Tatizo bongo wakiweka hio hakuna Vat hutaona mtu akilipa hata hio 3% wote watajificha kwenye hakuna Vat kwa kuficha bidhaa stoo 😂😂😂!!!

Watakolipa 5% ni GSM, Bahkressa, Mo Dewji na IPP tu
 
Nyie mlioongea mtoa thred na #2 nafikiri hamjui hata neno biashara. Ongea kitu unachokijua. Kwanza linganisha kodi kati ya nchi yetu na majirani zetu. Hivi unajua uganda hawana bandari,bidhaa tunanunua nao dubai,china na kwingineko,lakini kwa sasa Watanzania wengi wanafuata bidhaa zile zile tulizonunua pamoja huko,wanafuata uganda. Mfano nguo. Maana yake uganda wanauza nafuu kuliko sisi lakini ujue hawana bandari. Sisi tunauza bei kubwa sababu kubwa ni TRA. Hivi unajua soko la kariakoo linalisha nchi zaidi ya 5. Kuna msumbiji,malawi,zambia n.k. Tukiweka sawa swala la kodi makusanyo yataongezeka mara dufu. Hivi hujui mpaka sasa kuna wafanyabiashara zaidi ya 1000 wamefunga biashara zao ksbb za TRA. Halafu bado unaona TRA wakaze uzi. Kuna haja gani ya kuwafanya watu wafunge biashara? Ni hapa Tz tu. Nitawaambia nyie watu wawili msiojua biashara kinachofanyika sasa hivi kwa TRA ni kukudiria pakubwa kodi ili uanze kukaa nao mezani mazungumzo namna ya kuchukua rushwa. Vinginevyo kodi ikiwa sawa hakuna haja ya makubariano serikali itakusanya kodi kiasi cha kutosha. Mwisho mfumo wa kodi wetu ni kwa sasa ni kumfirisi mtu tu. Mfumo huu ufumuliwe wote
This is fucken. Nani ameongelea misingi ya kufanya biashara hapa? Mimi nimeongelea kodi. Maana unaweza kufanya biashara na bado usilipe kodi.

Hoja hapa ni moral authority ya wafanya biashara kuhoji au kuwaponda TRA huku kukiwa na mifano wazi jinsi wafanya biashara wasivyotaka kulipa kodi.

Uwe unasoma na unaelewa kabla hujakurupuka kujibu.
 
Mkuu unamuelekeza mtu anaeishi kwa hisia tuu watu wanataka kulipa kodi ila ieandane na uhalisia sio kubambikiana kodi ya juu kwa sababu ya kutaka rushwa TRA wamekosa ubunifu wa kuwa na wigo mpana wa walipa kodi na kuwafanya walipe kawaida bila kukimbizana.. Watu wanaenda nje kufanya biashara kisa TRA yetu ni kikwazo mbona huko nje hakuna usumbufu na kodi wanachukua...
Ulichokiandika kinahusiana nini na hii mada? Uwe unawelewa mada kabla hujakurupuka kujibu.
 
Tatizo ni TRA mkuu, kuwalaumu wafanya biashara unakosea, kwann bidhaa ileile iliyoingilia namanga itozwe kodi tofauti na bidhaa ileile ikiyoingilia bandarini au mpaka mwingine wowote, huoni hapo kama kuna shida,
Mkuu, ni kweli TRA wana matatizo. Nimekupa mfano wa pedi za kina mama, je ni kosa la TRA?

kuna cases kibao wafanya biashara wanaagiza mafuta kwenda kuuza nje alafu wanabadiliaha wanayauza ndani na rais amelisemea hilo muda mrefu, jw ni kosa la TRA? Hao ndio wafanya biashara waaminifu?

Miaka iliyopita mafuta ya taa yalikua bei ya chini, petrol na diesel yalikua juu, wakawa wanachakachua kila siku hadi ikabisi serikali iamue kuweka bei zote za mafuta sawa, hilo pia lilikua kosa la TRA kuchakachua mafuta? Hao ndio wafanya biaahara waaminifu ambao wanadai TRA ndio inawakwamisha?
 
Unapoteza muda wako bure kujibu vijana wa keyboard wenye mawazo ya kufikirika.
Nadhani ungeweza kuandika kitu cha msingi kuliko hiki ulichokiandika.

Mifano iliyotolewa ni ya kufikirika? Kwa nini watu hamtaki kutumia akili kidogo mlizo nazo kufikiri?
 
This is fucken. Nani ameongelea misingi ya kufanya biashara hapa? Mimi nimeongelea kodi. Maana unaweza kufanya biashara na bado usilipe kodi.

Hoja hapa ni moral authority ya wafanya biashara kuhoji au kuwaponda TRA huku kukiwa na mifano wazi jinsi wafanya biashara wasivyotaka kulipa kodi.

Uwe unasoma na unaelewa kabla hujakurupuka kujibu.
Una ubongo mdogo kama wa samaki. Unapanick kupata mawazo tofauti na yako. Unaanzisha mada unataka kila mmoja wafuate mawazo yako. Unapoanzisha mada kama hii inayohusu watu wengi lazima uwe tayari kupata mawazo tofauti na yako. Humu hawezi kumkuta wa kumuamlisha kama unavyofanya kwa mkeo nyumbani kwako.
 
Labda hujaelewa nilichokiandika hapa. Hoja ni uaminifu wa wafanya biashara wetu sio mfuno aa kodi. Najua mfumo wetu wa kodi ni wa kijinga na kizamani ila sio hoja yangu ya leo.
Hapa umeeleweka. Sio kutukana
 
Umeshawahi kwenda kukadiriwa kodi? Fungua biashara halafu nenda kwenye kodi ndo utaelewa. Unajua kodi inakadiriwa kabla ya faida halisi. Mfano kodi inayokusanywa leo na TRA ni ya faida ya mwakani ambayo mfanya biashara hajaipata bado. Wakati mwingine mfumo wa fidia kwa mwaka ujao ambao hajaufanyia biashara pia haumnufaishi mfanya biashara inabidi ajihami kabla. Japo upo sahihi kwenye ujanja ujanja wa wafanya biashara Ila ukumbuke pia wana sababisha kipato sana. PAYE, S.D.L, W.C.F Witholdig Tax, V.A.T, Coorparate tax, business license, advertising fees, transaction fee huko benki n.k n.k usig'ang'anie corparte tax tu ukawaona basi ni wabaaya. Hawa wanaleta kipato sana

bodi ya mikopo hapo....usiisahau
 
TRA leo sio sawa na jana
Kabisa mkuu. TRA ya sasa iko kukomoa na kujinufaisha mmoja mmoja kupitia rushwa ya baada kumbakizia mtu kodi kubwa. Lakini yote kwa yote shida ilianzia kwa mkuu. Toka alivyoingia yeye hakuangalia namna gani ya kukusanya kodi kisasa. Yeye alijua akiwabana sana wafanyabiashara basi kodi tu itakusanywa sana. Akaja na sera kodi kodi. Akawapa semina TRA wakusanye kodi kodi kodi. Basi kuanzia hapo biashara zikaanza kufungwa. Wafanyabiashara wamelia lakini kilio chao ikaonekana ni wakwepa kodi tu. Kumbe kweli wanaumizwa. Ona mfano mdogo wafanyabiashara wa mpaka wa tunduma 70% wamehamia upande wa zambia,kwenye kodi zinalipika. Kwa hapa kwetu ukiamua kulipa kodi kama sheria inavyosema,lazima ufirisike.
 
Watu wengi humu mnasema vitu msivyovijua wala kabisa, na hapa ndo unaona watanzania tuna tatizo kubwa sana kuchambua na kupembua mambo kwa mapana yake. Nikipata muda nitawaletea uhalisia ambao kwa kiasi kikubwa ni tofauti na stori zenu za kwenye kahawa.
 
Mkuu, ni kweli TRA wana matatizo. Nimekupa mfano wa pedi za kina mama, je ni kosa la TRA?
kuna cases kibao wafanya biashara wanaagiza mafuta kwenda kuuza nje alafu wanabadiliaha wanayauza ndani na rais amelisemea hilo muda mrefu, jw ni kosa la TRA? Hao ndio wafanya biashara waaminifu?
Miaka iliyopita mafuta ya taa yalikua bei ya chini, petrol na diesel yalikua juu, wakawa wanachakachua kila siku hadi ikabisi serikali iamue kuweka bei zote za mafuta sawa, hilo pia lilikua kosa la TRA kuchakachua mafuta? Hao ndio wafanya biaahara waaminifu ambao wanadai TRA ndio inawakwamisha?
Mafuta yalikua yanachakachuliwa mkoa wa Pwani na wachakachuaji walikua wanajulikana wamepandisha bei ya mafuta ya taa vijijini ndugu zetu wananunua kwa bei kubwa kisa watu wachache ambao wangeweza kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi wewe hilo unaona sawa kabisa...
 
Naona kila mtu anailamu TRA, ni kweli TRA wana matatizo yao makubwa tu ila tusisahau kua dhamira kuu ya mfanya biashara ni kupata faida kubwa na adui pekee wa faida hua ni kodi, hivyo hakuna mfanya biashara anaependa kulipa kodi. Wafanya biashara wangependa hata kodi isiwepo kabisa, yaani ingewezekana TRA iondolewe kabisa.

Mimi binafsi naiona TRA kua imekaza ndio maana wafanyabiashara wanailalamikia, TRA ingekua legelege na wafanyabiashara kutokulipa kodi au kukwepa kodi usingesikia wakilalamika hata siku moja kua TRA ni legelege haikusanyi kodi.

Wafanyabiashara wengi hua ni wajanja wajanja sio Tanzania tu, ni Duniani kote, hutengeneza hesabu za uongo, kupika matumizi makubwa ili kupunguza kiwango cha kodi. Just imagine, juzi kwenye mkutano na rais wafanyabiashara wenyewe wamekiri kua wanatengeneza vitabu 2 vya mahesabu kimoja kwenda TRA kingine kwenda benki. Hiki cha TRA kinaonyesha hasara hiki cha benki kinaonyesha faida, unawezaje kuwaamini watu kama hao kulalamikia watumishi wa TRA?

Angalia mfano mwingine, mwaka jana serikali iliondoa VAT kutoka kwenye ped za wanawake ili zishuke bei ila wafanya biashara wakauza kw abei ya juu inayojumulisha kodi ya VAT mbayo imesamehewa na serikali, maana gake waliwacharge wananchi VAT ambayo haipo na wakaila, hawakuipeleka serikalini maana serikali ilishaifuta, hao watu unawaamini wakiwalalamikia watumishi wa TRA?

Kuna mfanya biashara mwingine juzi kaumbuliwa na Lukuvi na Rais wa utapeli wa kununua ardhi, lakini alikuja pale kuwalalamikia watu wa ardhi bila kujua taarifa zake ziko hadi kwa rais, watu hao unawaamini? Kama rais au waziri asingekua na details za mshikaji, kamishna wa ardhi si angefukuzwa kazi?

Rais amekiri mwenyewe kuna makampuni 1700+ yenye taarifa za mahesabu fake na zinadai taz returns za mabilioni kutokana na fake book of accounts, kama rais asingekua na details zao hao pia wangewalalamikia TRA kwa kuchelewesha tax returns zao, watu kama hao unawaamini?

Wakati wafanya biashara wanatorosha makontena, anakwepa kodi mbona hawakulalamikia TRA kua inawapa ruhusa ya kutorosha makotena?

Business community ya Tanzania ina wababaishaji wengi kuliko watu honest. Wakilalamika mara nyingi ni pale wanapokua wamebanwa na taasisi husika, wakiachiwa hawalalamiki.

Tuwalaum TRA ila wafanyabiashara wengi wa Tanzania sio waaminifu.
Ili kuweza kuwabana wafanyibiashara tunahitaji wafanyikazi TRA wenye weledi wa hali ya juu na ambao kweli wako committed to save their country.Tunahitaji pia makadirio ya kodi yawe realistic ili kukwepa maongezi ya pembeni.Ilivyo sasa makisio yanafanywa kuwa makubwa makusudi ili kutengeneza mazingira ya rushwa.
 
Mafuta yalikua yanachakachuliwa mkoa wa Pwani na wachakachuaji walikua wanajulikana wamepandisha bei ya mafuta ya taa vijijini ndugu zetu wananunua kwa bei kubwa kisa watu wachache ambao wangeweza kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi wewe hilo unaona sawa kabisa...
Rudia kusoma unielewe.
 
Rudia kusoma uharo wako uone ulichokiandika.
Kwani ukiandika bila kutukana unapungukiwa nini au upo katika umri wa kufanya kila jambo kuwa mstaarabu hakuna Mtanzania asiejua kutukana wote timekulia maisha mabovu ila mazingira yametubadilisha ukiona mtu hawezi kutukana au ugomvi usimuone fala kabisa yeye ndio anakushangaa wewe...
 
Naona kila mtu anailamu TRA, ni kweli TRA wana matatizo yao makubwa tu ila tusisahau kua dhamira kuu ya mfanya biashara ni kupata faida kubwa na adui pekee wa faida hua ni kodi, hivyo hakuna mfanya biashara anaependa kulipa kodi. Wafanya biashara wangependa hata kodi isiwepo kabisa, yaani ingewezekana TRA iondolewe kabisa.

Mimi binafsi naiona TRA kua imekaza ndio maana wafanyabiashara wanailalamikia, TRA ingekua legelege na wafanyabiashara kutokulipa kodi au kukwepa kodi usingesikia wakilalamika hata siku moja kua TRA ni legelege haikusanyi kodi.

Wafanyabiashara wengi hua ni wajanja wajanja sio Tanzania tu, ni Duniani kote, hutengeneza hesabu za uongo, kupika matumizi makubwa ili kupunguza kiwango cha kodi. Just imagine, juzi kwenye mkutano na rais wafanyabiashara wenyewe wamekiri kua wanatengeneza vitabu 2 vya mahesabu kimoja kwenda TRA kingine kwenda benki. Hiki cha TRA kinaonyesha hasara hiki cha benki kinaonyesha faida, unawezaje kuwaamini watu kama hao kulalamikia watumishi wa TRA?

Angalia mfano mwingine, mwaka jana serikali iliondoa VAT kutoka kwenye ped za wanawake ili zishuke bei ila wafanya biashara wakauza kw abei ya juu inayojumulisha kodi ya VAT mbayo imesamehewa na serikali, maana gake waliwacharge wananchi VAT ambayo haipo na wakaila, hawakuipeleka serikalini maana serikali ilishaifuta, hao watu unawaamini wakiwalalamikia watumishi wa TRA?

Kuna mfanya biashara mwingine juzi kaumbuliwa na Lukuvi na Rais wa utapeli wa kununua ardhi, lakini alikuja pale kuwalalamikia watu wa ardhi bila kujua taarifa zake ziko hadi kwa rais, watu hao unawaamini? Kama rais au waziri asingekua na details za mshikaji, kamishna wa ardhi si angefukuzwa kazi?

Rais amekiri mwenyewe kuna makampuni 1700+ yenye taarifa za mahesabu fake na zinadai taz returns za mabilioni kutokana na fake book of accounts, kama rais asingekua na details zao hao pia wangewalalamikia TRA kwa kuchelewesha tax returns zao, watu kama hao unawaamini?

Wakati wafanya biashara wanatorosha makontena, anakwepa kodi mbona hawakulalamikia TRA kua inawapa ruhusa ya kutorosha makotena?

Business community ya Tanzania ina wababaishaji wengi kuliko watu honest. Wakilalamika mara nyingi ni pale wanapokua wamebanwa na taasisi husika, wakiachiwa hawalalamiki.

Tuwalaum TRA ila wafanyabiashara wengi wa Tanzania sio waaminifu.
" ni kweli TRA sana matatizo yao makubwa tuu" mwisho wa kunukuu n case closed pls get back ur lost id
 
Back
Top Bottom