Tuusambaze waraka wa Kanisa kila sehemu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
WATANZANIA

Ndugu wananchi.imefika wakati wa kujaribu kufanya kwa vitendo katika ita hii ya kifisadi badala ya kutumia maneno ....tupu
tunaomba ukiwa kama mshirika na mwanaharakati wa kupinga ufisadi tunaomba uwe pamoja na wakatoliki katika kuusambaza waraka huu katika kila mtanzania awe mwanafunzi mfanyakazi...,,
SERIKALI IJUE HATA KAMA HATUTAWEZA KUONGEA BAASI MAWE YATAONGEA
 
Wazo zuri mkuu......!

BWT: Ingekuwa vizuri ukaedit title na post yako isomeke vizuri.....kuna maneno hayajakamilika etc!
 
WATANZANIA

Ndugu wananchi.imefika wakati wa kujaribu kufanya kwa vitendo katika ita hii ya kifisadi badala ya kutumia maneno ....tupu
tunaomba ukiwa kama mshirika na mwanaharakati wa kupinga ufisadi tunaomba uwe pamoja na wakatoliki katika kuusambaza waraka huu katika kila mtanzania awe mwanafunzi mfanyakazi...,,
SERIKALI IJUE HATA KAMA HATUTAWEZA KUONGEA BAASI MAWE YATAONGEA

..........let's hope the whole project will not be interfered by UWT!unajua these guys bwana,mh!

NAUNGA MKONO HOJA!
 
WATANZANIA

... vitendo katika ita hii ya kifisadi badala ya kutumia maneno ....tupu

Mkuu,

pls: andika vita na sio ita hili bandiko lako lisomeke sawa sawa!

Nakuunga mkono, mimi nimechapisha copy 200 nazipeleka kijijini kwetu Kamachumu/Nkaka

Bwana atatupigania kama wana wa Israel (Amen)
 
WATANZANIA

Ndugu wananchi.imefika wakati wa kujaribu kufanya kwa vitendo katika ita hii ya kifisadi badala ya kutumia maneno ....tupu
tunaomba ukiwa kama mshirika na mwanaharakati wa kupinga ufisadi tunaomba uwe pamoja na wakatoliki katika kuusambaza waraka huu katika kila mtanzania awe mwanafunzi mfanyakazi...,,
SERIKALI IJUE HATA KAMA HATUTAWEZA KUONGEA BAASI MAWE YATAONGEA
Huo waraka unapatikana wapi ili tuweze kuusoma na kuusambaza?
 
Utasambazwa kama njugu hata asiyejua kusoma atasomewa!!!
Tumechoka na Mafiasadi hawa, Kingunge hana warrant ya kumzuia Mungu kufanya na ajaribu aone picha halisi ya MUNGU, JEHOVA RAPHA!!
 
Sio wote ambao tupo Tanzania. Aulizaye ataka kujua.

Du mkuu umeniacha hoi kabisa.......maana yangu ilikuwa kwa yeyote anayeweza kuaccess JF mahala popote pale duniani.....waraka huu ulikuwepo JF (kama attachment) kitambo kirefu sana! au unataka kuniambia ukiwa nje ya TZ huwezi fungua attachment mkuu!

Anyway.....sasa umeupata waraka mkuu au bado?
 
mkuu,

pls: Andika vita na sio ita hili bandiko lako lisomeke sawa sawa!

Nakuunga mkono, mimi nimechapisha copy 200 nazipeleka kijijini kwetu kamachumu/nkaka

bwana atatupigania kama wana wa israel (amen)
mkuu ahsante kwa hilo.... Na mungu akubariki jaamani tumpigie makofi mwenzetu.......pwaa pwaa pwaa kazi nzuri....usiache kuliweka maombini ili kila anaesoma basi akatende sawasawa na mapenzi ya mungu
 
Hakika tukiungana kwa pamoja tunaweza kufanya mabadiliko makubwa mkuu,kama kungekuwa na uwezekano wa kupata sehemu za walaka huo hata kwa awamu ingefaa zaidi na ungewafikia wengi
 
GEOMO
user_online.gif

GEOMO has no status.
Junior Member
Join Date: Sat Jul 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 1,815

counting one...........
karibu
 
utasambazwa kama njugu hata asiyejua kusoma atasomewa!!!
Tumechoka na mafiasadi hawa, kingunge hana warrant ya kumzuia mungu kufanya na ajaribu aone picha halisi ya mungu, jehova rapha!!

amen mkuu mbaga........................akuna awezaye kumshinda mungu
huyu babu anajua imani yake ya kutoshika biblia wala quran inaweza kuwastopisha watanzania kutetea maisha yao......
 
Naunga mkono hoja,Namshauri Kingunge astaafu siasa maana anaboa sana,zama hizi sio za kudanganya watanzania,nashauri kama kuna point zimesahaulika kwenye Huu waraka basi madhehebu mengine yasaidie kuuboresha kwa manufaa ya watanzania.
 
amen mkuu mbaga........................akuna awezaye kumshinda mungu
huyu babu anajua imani yake ya kutoshika biblia wala quran inaweza kuwastopisha watanzania kutetea maisha yao......
Nami pia nimeanza kutengeneza waraka wangu. Huu haumung'unyi maneno unasema kila kitu na aina yooote ya ufisadi. Ufisadi wa aina yoote na mianya yoote inayofanya nchi yetu iwe kama ilivyo. Hakuna kugeneralise issue zoote zinatajwa. Hopeful it will cater the need of all the society at large regardless of their denominations.
 
Ni mzuri ukasambazwa kwa wakatoliki wote kupitia makanisani kwao LAKINI SI VIZURI KUUSAMBAZA KWA WATU WENYE IMANI TOFAUTI NA WAO.

WARAKA UKIUSOMA UTAONA UNAELEZA MAMBO MAZURI SANA LAKINI UKIUPITIA KWA MAKINI SANA UTAONA KUNA MAFUMBO MENGI NA MAKATAZO MENGI SANA NA MWISHO UNATOA MAJIBU NANI ACHAGULIWE KIIMANI.

Nilipokuwa naupitia nikajaribu kujiuliza kama wao wana mazuri hayo kwanini wasianzishe Chama cha siasa? Pili kwanini nao wasivue majoho na kuwa kama Dr SLAA kugombea ubunge na kuingia Bungeni.

HAKIKA TANZANIA KAMA ITAPATA AKINA SLAA KAMA 20 HIVI BUNGENI BASI UFISADI UTAFUTIKA.
 
Back
Top Bottom