Tuugope ujinga

HORSE POWER

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
2,102
1,415
Ujinga ni hatari.Ujinga adui mkubwa mno.Ujinga humfanya mtu kuwa mtumwa wa hiari au wa lazima.Ujinga ni MTAJI MKUU wa shetani na wafuasi.Ujinga ni mtaji wa wanasiasa uchwara,wachovu na wasaka ulaji.Ujinga ni mtaji wa watawala madhalimu.Ujinga ni nyenzo ya matapeli,majizi yanayotumia peni na watendaji wapiga dili.Ujinga ni giza totoro kuliko giza la usiku.Ujinga ni kifungo cha kujitakia.Na ujinga usiposhughulikiwa kwa wakati hukomaa na kuwa upumbavu.Hatua hii ni ya hatari.Tuugope ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom