Dopodopo Kadopo
Senior Member
- Jul 23, 2012
- 120
- 19
Uzoefu tulio nao wa vita ya kagera ni kuwa wakati tunapigana vita ile tulikuwa katika mfumo wa chama kimoja cha siasa. Sasa kunauwezekano kabisa majirani zetu malawi wakatulazimisha kuingia vitani. dalili tumeziona kwani duniani kote historia ya vita huza na maneno (vita ya maneno) hasa kauli za viongozi wanasiasa. Kilicho tusaidia wakati wa vita ya iddi amini ni umoja wetu kama taifa ulioimarishwa na siasa za chama kimoja.
Hebu tujaribu kuangalia umoja na mashirikiano yetu kama taifa bado viko katika enzi hizi za vyama vingi. Kama vimepungua tunafanya nini wakati tunajiandaa kukabiliana na mama banda wa malawi?
Hebu tujaribu kuangalia umoja na mashirikiano yetu kama taifa bado viko katika enzi hizi za vyama vingi. Kama vimepungua tunafanya nini wakati tunajiandaa kukabiliana na mama banda wa malawi?