tusker project fame siwaelewi

hongera sana big boss kwa uzalendo wako,ni wachache sana wanaweza kuangalia vipindi ambavyo hata hawavielewi
 
Kunywa Tusker kisha chini ya kizibo kuna Nambari zilizojificha tuma kwenye number iliyo kwenye Mabandiko...

hahahahahahaahah lolz
asante sana mmmhhhh

eti kuna chakula ca tusker au ni hii tu ??


avatar3834_2.gif
 
TPF all stars..wakali watupu..hemed kaingia kama mshiriki aliyeleta msisimko na kuongeza idadi ya watazamaji!alpha karudishwa kama aliyewahi kuwa mshindi!kifupi ni game ya wakali watupu mambwiga hawana nafasi
 
Back
Top Bottom