Tusker beer ya SBL bomu

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Ndugu wapata kinywaji, nimekuwa mtumiaji wa tusker beer kwa miaka mingi sasa, lakini tangu zitoke hizi tusker za sbl zimenishinda, zina harufu na taste tofauti na hangover yake ni balaa tofauti na ile tusker ya zamani au ya tbl, nimegundua kitu kuwa ule utamu wa tusker ya zamani iko kilimanjaro beer.sbl imechemsha mbaya, milifikiri mtawateka wanywaji wa tusker ila wengi wameanza kuikimbia.
 
Acha kampeni chafu za kibiashara bana.............consumer protection agency wasingeruhusu:mad2:
Si mnywaji wa bia kabisa lakini sipendezwi na kampeni chafu kama hizi.
 
nadhani hajakosea..! Amesema kilichomo moyoni mwake. Mimi pia imenishinda kabisa, nimehamia ndovu au kilimanjaro
 
Mzee wangu alikuwa mnywaji wa Tusker nae anatafuta pa kukimbilia sasa hivi.
 
Acha kampeni chafu za kibiashara bana.............consumer protection agency wasingeruhusu:mad2:
Si mnywaji wa bia kabisa lakini sipendezwi na kampeni chafu kama hizi.

Mimi pia nimeacha kunywa Tusker hiyo nimehamia ndovu. Ni mbaya kabisa sincerely.
 
Kwa hiyo ushauri wako ni nini kuhusu wanaoendelea kunywa na wanaipenda? Au unamaoni gani kwa hii kampuni ya SBL kuhusu hiyo bidhaa?
 
Msiikiimbie sababu ukinywa tukser ya SBL unadumisha umoja wa afrika mashariki.
Yale mamimutungi yanakuwa na mabaki ya serengti.Sasa unachanganya na Tusker ndo inakuja hiyo ladha. Sio sumu na kama ni mywaji unajua bia ni bia tu. teh teh teh teh

Kama ni kweli ladha imebadilika May be fanyeni maandamano mitungi ya tusker iwe reserved kwa tusker tu.
 
kweli hata mm nimekuwa mtumiaji wa tusker muda mrefu lakini hii ya SBL ina harufu na pia ladha yake tofauti kabisa na ya zamani mm naona wangeipa jina lingine tujue ni bia mpyaa kabisa katika brand zao
 
Jiwe liitwe Jiwe....Hawa serengeti wamechemsha mbaya kwenye tusker...mpaka imefika kwenye mtandao huru kama huu jua ni balaa.
Nimekunywa natamani sana...kunywa hizi beer za serengeti...Lakini I had most of it siku moja...dah next morning ilibidi niwe mgeni wa mwananci hospital...full kuhala na kama kinda malaria...lakini nahisi hawa jamaa wana tatizo kwenye uchanyaji...wakiwa na aim ya kuleta mabdiliko...katika vinywaji sasa wanaharibu..Kilimanjaro kwa sasa na ndovu ndio zinanyweka snaa...hasa baada ya harufu ile ya SBL kila mnywaji kuisikia..dah...
 
Cup results may change attitudes on recruitment of tusked. Mwinjilisti, mkewe wauawa kwa bomu. Dowans maji ya shingo kwa Ngeleja.


____________________________________________________________________
Earn an Extra $1000 to $1200 per month doing Part Time Data Entry Jobs! Work from home data entry jobs to post simple data submissions on Internet. Make $1 per entry. Easy form filling, data entry and ad posting jobs. No selling, No phone calls, No Market
 
Tonge, acha uchokozi; hizo bia za Zebra, kwa mama Mpea, 4stars na Kingston lazima ziwe na hangover kali. By the way, hata mimi nilikuwa mpezini wa Tusker (ya TBL), hii ya SBL imenishinda. Nadhani ni vema EAB wangeangalia upya hii contract ya SBL la sivyo mauzo yatashuka.:becky:
 
Hahahahahaaaa Gama ndugu yangu sasa mi ni mteja wa Kili, juzi alhamisi nimekamua kili 15 na babu kisha nikadrive kurudi home na kesho yake job kama kawa, ingekuwa tusker basi ningekuwa mautiuti.Wewe endelea kupiga hizo castle lite zako zinazoumiza kichwa na kuufanya mkkuki wako kuwa doroooo hata kama nguluwe yupo.Au bado unaendelea na ile kauli yako ya NGULUWE PITA MKKUKI SINA?.
 
wacha nitoke njee ya mada ni ulize swali ndugu zangu, bia gani yanywewa sana Tanzania, Kilimanjaro?
 
wacha nitoke njee ya mada ni ulize swali ndugu zangu, bia gani yanywewa sana Tanzania, Kilimanjaro?

Inategemea na maeneo Smatta.
Ukienda Mwanza watu wanapiga sana Balimi
ukija Iringa Safari iko juu
ukienda moshi vijijini kuna bia inaitwa eagle.
Dar es salaam hakuna formular.
 
Cup results may change attitudes on recruitment of tusked. Mwinjilisti, mkewe wauawa kwa bomu. Dowans maji ya shingo kwa Ngeleja

____________________________________________________________________
[/B] Earn an Extra $1000 to $1200 per month doing Part Time Data Entry Jobs! Work from home data entry jobs to post simple data submissions on Internet. Make $1 per entry. Easy form filling, data entry and ad posting jobs. No selling, No phone calls, No Market

Mkuu naomba maelezo kidogo kuhusu hiyo signature yako!!
 
Back
Top Bottom