Tusker Lager ya SBL 'bomu'

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Ndugu wapata kinywaji, nimekuwa mtumiaji wa Tusker beer kwa miaka mingi sasa, lakini tangu zitoke hizi Tusker za SBL zimenishinda, zina harufu na taste tofauti na hangover yake ni balaa tofauti na ile Tusker ya zamani au ya TBL.

Nimegundua kitu kuwa ule utamu wa Tusker ya zamani iko kilimanjaro beer. SBL imechemsha mbaya, mi nilifikiri mtawateka wanywaji wa Tusker ila wengi wameanza kuikimbia.
 
Unajua capacity ya kiwanda pale chang'ombe ni ndogo kwa hivo bia zinauzwa zikiwa mbichi.....yaani staright from factory to mudomo....hutakiwa zikae kidogo store zijenge ladha
 
Habari mota! Lakini kwa nini msiwaambie hao SBL wenyewe waelewe 'consumer views'? Licha ya kuboresha utendaji wao, mtawasaidia kujua hali halisi kutoka vinywani mwa matester wenyewe. Mimi sinywi bia - so sitaweza kusaidia zaidi!
 
Nakubaliana na mtoa mada kwa kiasi fulani, wengine tulioizoea hii kitu tumegundua kunatofauti kubwa sana, kati ya Tusker under TBL na Tusker under SBL. Kwa mimi naona kama Tusker ina ladha sawa sawa na Serengeti bia, tusker mpya ni chungu kama serengeti, yes in hangover kuliko ile ya zamani tuliyoizoea........!

Kama consortium ya wanywaji wa tusker tulikuwa tunafikiria kuchukua hatua za kisheria kwa SBL kutumislead wanywaji wa tusker bia! kwa sababu kama ulizoea kunywa say, chupa 10 za tusker unakuwa fit leo hii ukinywa tusker chupa 10 (mpya) unakuwa hoi bin taabani......sijui chemistry wameifanyaje hapo.......!
 
nakubaliana na mtoa mada kwa kiasi fulani, wengine tulioizoea hii kitu tumegundua kunatofauti kubwa sana, kati ya tusker under tbl na tusker under sbl. Kwa mimi naona kama tusker ina ladha sawa sawa na serengeti bia, tusker mpya ni chungu kama serengeti, yes in hangover kuliko ile ya zamani tuliyoizoea........!

Kama consortium ya wanywaji wa tusker tulikuwa tunafikiria kuchukua hatua za kisheria kwa sbl kutumislead wanywaji wa tusker bia! Kwa sababu kama ulizoea kunywa say, chupa 10 za tusker unakuwa fit leo hii ukinywa tusker chupa 10 (mpya) unakuwa hoi bin taabani......sijui chemistry wameifanyaje hapo.......!

kipi kimekuzuia kushtaki? As a customer you should have done it arleady.do it now and be proud.
 
Bia na soda nyingi za DSM ni vimeo na chafu kwani wanatumia maji ya bahari yalotolewa chumvi(ambayo haiishi asilimia 100)!!! Ukiinywa vinywaji hivyohivyo vilotengenezwa na viwanda vilivyopo Kaskazini mwa Tz (Mwanza, Kilimanjaro n.k.)utahisi tofauti!!:eyeroll2:!!
 
Unajua mi siku ya kwanza kuinywa Tusker ys SBL nilikorofishana na mhudumu baada ya kumshutumu kuwa amenipa glass inanukanuka kama maziwa vile... Baadae nilikuja kubaini kumbe hata chupa ya bia haikuwa na nembo sawa, nikacheki ndo nikaona ni ya SBL. Kwa kweli wameniboa sana ukizingatia mimi siendani na Kilimanjaro. Yaani sasa natangatanga kutafuta bia nyingine 'itakayonifikisha'...
 
Nakubaliana na mtoa mada kwa kiasi fulani, wengine tulioizoea hii kitu tumegundua kunatofauti kubwa sana, kati ya Tusker under TBL na Tusker under SBL. Kwa mimi naona kama Tusker ina ladha sawa sawa na Serengeti bia, tusker mpya ni chungu kama serengeti, yes in hangover kuliko ile ya zamani tuliyoizoea........!

Kama consortium ya wanywaji wa tusker tulikuwa tunafikiria kuchukua hatua za kisheria kwa SBL kutumislead wanywaji wa tusker bia! kwa sababu kama ulizoea kunywa say, chupa 10 za tusker unakuwa fit leo hii ukinywa tusker chupa 10 (mpya) unakuwa hoi bin taabani......sijui chemistry wameifanyaje hapo.......!

NL:

hapo red please enjoy/drink responsibly!
 
Unajua capacity ya kiwanda pale chang'ombe ni ndogo kwa hivo bia zinauzwa zikiwa mbichi.....yaani staright from factory to mudomo....hutakiwa zikae kidogo store zijenge ladha

Hata hivyo badiliko ni kubwa zaidi ya kuiva. Ladha imekuwa ya Serengeti hivi sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom