Ukisema upo hapa dar unapungukiwa nn?Nimeisema hapa na pia nkazungumzia tren mwendo pugu
Nahisi tusipokuwa makini kifuatacho ni Mabasi ya mwendo kasi na Treni ya Stesheni- Pugu - JamiiForums
Ndege siyo suluhu ya hiliWacha tununue ndege kwanza!
SijaelewaUkisema upo hapa dar unapungukiwa nn?
Namimi napendekeza hivo maAna unakuta watu wazembe wazembe tuHuku inabidi apatikane mmoja wa kunyongwa kwa uzembe huu ili liwe somo kwa wengine, roho za watanzania zinapotea kama za kuku
Kwahiyo unawatetea?Huu mradi haujawahi kuwa na mabus 600 wala sahivi hayapo 300,
Mabus yalikuwa 140 mwanzoni mwa mradi, wakaongeza mengine 70 bado yapo bandarini ili kufanya yawe 210,
Tambua bado mabus yapo 140, haya ukipunguza yanayokuwa kwenye maintenance ndo utajua yanabaki mangapi yanayofanya kazi.
Kabisa TB mle lazima impate mtuWanasema ukichukua hatua kabla ya ajali una matumizi mabaya ya rasilimali, lakini pia baadhi ya watu hawapendi kuchukua tahadhari kwakuwa wananeemeka yanapotokea majanga
Kuna ongezeko kubwa sana la wagonjwa wa TB, yawezekana msongamano kwenye mabasi ni moja ya sababu
Itakuja kujua watu hasaAcheni bwana! Sie tunaunga mkono juhudi! Kama mwendokasi itaanguka kwa kujaza abiria hizo ni juhudi za kufikisha abiria wengi zaidi kwenye shughuli zao, hapakazituu. Treni ya Pugu ikiacha reli kwa wingi wa abiria ni uzalendo wa kupenda kazi ili wasichelewe!
R.I.PRIP wahanga wa MV Nyerere.
Rambirambi ziwafikie wahanga. Asitokee mtu akanunua meli kwa Fedha za rambirambi.
Utaelewa tuSijaelewa
Akili zako mbovu sanaaa sasa nakirudishia siku ukilipanda tu ww ambae hauko tayar kukosolewa na ukajikosoa utakuwa wa kwanza kufia huko!Utazikwa wewe na familia yako kabla ya hayo mabasi walahi!
Kipimo unacho pima HUWA NA KAWAIDA YA KUKUPIGA WEWE NA FAMILIA YAKO WALAHI!
Ongera kwa kuja Dar es salaam. Na kupanda mwendokasi. Je umeenda na kwy daraja la nyerere kushangaa, umeenda Mlimani city na umeenda kwy daraja la tazara{a.k.a Flyover}Wiki moja kbla ya wiki ya kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere nilikuwa jijini Dsm.
Wakati nikiwa jijini nilitumia usafiri wa mwendo Kasi kutoka mbezi ya kimara kwenda posta!
Ndgu zangu kuna hatari kubwa inakuja kwa magar hayo yani magar nasema ipo siku yatazika watu!
Narudia kusema kwa sbabu idadi ya abilia wanao panda gar hizo ni wengi sanaaa,kibaya zaid magar hayo abilia wanasimama mpka mlango wengine wanakanyaga sehemu ambayo imeunganisha gar moja na jingine!
Nje ya yote sidhani kama yale magari yanafanyiwa aervice au la maana ukiingia ndani magar yapiga kelele hatar.
Niwaombe tu ndgu wa Dsm omben mrudishiwe Dcm zenu vingine hayo magari ambayo mradi umekaa kisiasa utawachinja sanaaa.
Nyinyi hamjiulizi kwa nn mnajazana hivuo trafic hawasemi lolote wala hakuna sumtra anae kuja kuongea na abilia? Siasa hizi jaman zitawamaliza ndgu amke leooo hii tunaambiwa sheria za vivuko vya umma na private ni tofauti this is politics
Nareje hili Mode naomba usifute uzi huu iko siku mtanikumbuka
Wameisha kuja mkuu fatilia angalia matusi yao wake wa Kisena mzew wa UDA MKOA MZIMA WA DARNgoja waje