Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

Hizi mada hushadadiwa zaidi na vijana wa kanda ya kaskazini(hasa wachaga)...

Hawa ni mabingwa wa ukabila na migawanyo...

Wamekua machawa wa Samia lakini ni kama mama huyu hawajali, walitamani mawaziri wengi watoke huko lakini kimya

Sasa hasira zao ndo kama hivi.
 
Karudie shule elimu ya gumbaru,,,mkoa kama mwaza,geita,shinyanga inamchango kidogo kivipi wakati almasi nchi hii ipo shinganga pekee,geita dhahabu,mwaza ziwa,simiyu na mara dhahabu.
Utalii ndio sekta inayoliingizia taifa hili mapato mengi zaidi kuliko sekta nyingi zote.
 
Tuache unazi ww akisimama msukuma anaongelea mwanza tu ama ..Mpina nae akisimama anaongelea mwanza tu na kingine labda hujui Hii nchi itakuja kunyooshwa na mtu wa kanda ya ziwa mfano tulianza na JPM sasa kuna vijana tu km Makonda wanataka watu wasionewe.Nyie kaeni kuharibu nchi kabla ya kua wazalendo.Sasa hivi wabunge wanao ongea hoja za msingi ni walio toka bara ukija nnje unakutana na Makonda anasikiliza matatizo ya watu mikutanoni huko na ukiwatoa hao kuna kina nani tena wenye hoja za kizalendo
Makonda anainyoosha nchi
 
..ni kanda yenye watu wengi, rasilimali nyingi, na viongozi au wawakilishi wabovu.

..kanda ya ziwa ingekuwa na viongozi makini wenye upo ingekuwa na hali bora ya kiuchumi kuliko maeneo yote hapa nchini. Yaani Watanzania tungekuwa tunakanyagana kujaribu kuhamia huko.

..so far viongozi wa CCM toka kanda ya ziwa wamekuwa WABINAFSI wa kutetea maslahi yao na ya chama chao badala ya kuwatetea wapigakura wao.
Bahati mbaya sana hali nzuri ya kiuchumi au maendeleo hayategemei sana rasilimali ulizo nazo bali uwezo wa kiakili wa raia kwa wingi wao katika eneo hilo. Ndio maana Israel, Singapore, Taiwan, Japan, Korea Kusini na nchi nyingi za Ulaya hawana rasilimali ila wameendelea sana.
 
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.

Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Hoja ya kipumbavu kabisa....
 
Toka lina elimu ikawa na uhusiano na maendeleo? Na toka lini uongozi ukawa na uhusiano na elimu?, Uongozi ni kipawa mtu anazaliwa nacho.
 
Uwezo Ndogo sana wa kuelewa Mambo, fuatilia uone kama kuna Kanda nyingine ya kushindana na Kanda ya Ziwa kwenye mchango wake kwa Taifa ukitoa Dar wanaotegemea zaidi bandari. Huu mchezo hauhitaji hasira utayanywa tu maji upende usipende. Lake Zone ni level nyingine wewe.
Wafanyabiashara wengi wa huko ni watu wa kaskazini, nyie mko mnafuga n'gombe
 
Mikoa inayopakana na Ziwa Tanganyika, Rukwa na Nyasa nayo ni kanda ya ziwa??
 
Toka lina elimu ikawa na uhusiano na maendeleo? Na toka lini uongozi ukawa na uhusiano na elimu?, Uongozi ni kipawa mtu anazaliwa nacho.
Uongozi una uhusiano mkubwa sana na elimu na hasa ubora wa elimu yenyewe ila kila mahali au kila jambo huwa kunaweza kuwa na exceptions.
 
Back
Top Bottom