Trueman m
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 306
- 312
Leo nimeona mwingine amekula nduki baada ya kutaka kuuziwa kitu used fb, watu walishajitayarisha kugonga menu kwa raha zao jamaa katuma sms kuwa mali aliyokuwa amelipia ni used, hivyo hawezi kuendelea na mchakato wa kupeleka kwake mali aliyoaminishwa kuwa ni brand new! Haya maisha changamoto sana.