goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,855
- 12,985
MINOCYCLINE njoo mzee Seema neno
Wakuu kwema?
Ukitizima kwa jicho la kiufundi hii timu yetu ya Simba ni timu dhaifu, kweli tutasema tumefuzu hatua ya makundi Klabu Bingwa Africa lakini tumekutana na timu gani? Huwezi kujisifu kwa kupigana na mlevi.
Tazama mechi ya Azam, Singida na Yanga, Simba yetu ikikutana na timu iliyo 'compact' hatutoboi, ukweli usemwe. Tuna wachezaji ambao ni wa kawaida sana, mtu kama Kibu ataifikisha wapi timu?
Aya twende kwenye uongozi, huku ndiyo ujanja ujanja, walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha Yanga kufungwa kimataifa. Mpaka sasa kocha mkuu Mgunda hana mkataba, hawajui kama wamuongezee au watafute kocha mpya.
Mpaka sasa anayejiita mwekezaji hajaweka ile pesa shilingi bilioni 20 kama thamani ya hisa ya asilimia 49. Timu inasajili wachezaji wa laki 5 kama akina Kibu itafika wapi? Angalia Yanga wamecheza michezo pungufu ila ndiyo wanaongoza ligi. Halafu kuna mbumbumbu wanasema tutachukua kombe, labda kombe la kahawa.
Mo Dewj tuachie timu yetu, ondoka na huyo dada yako Barbra, wanachama tunataka 20b, hatuwezi kuendelea kuwa mambumbumbu kiasi hiki.
Mimi sina uwezo huo, huyo mwenye uwezo wa hyo 20 b ameweka? Kwahyo nami nikahaidi 500b kiutapeli? Utapeli siwezi.
Mwamedi tuachie timu yetu,Mzee Kilomoni na Bi Hindu njooni tuwape timu. Mzee Kilomoni uwe Rais na Bi Hindu uwe CEO.
Ukosefu wa maarifa ni mzigoWakuu kwema?
Ukitizima kwa jicho la kiufundi hii timu yetu ya Simba ni timu dhaifu, kweli tutasema tumefuzu hatua ya makundi Klabu Bingwa Africa lakini tumekutana na timu gani? Huwezi kujisifu kwa kupigana na mlevi.
Tazama mechi ya Azam, Singida na Yanga, Simba yetu ikikutana na timu iliyo 'compact' hatutoboi, ukweli usemwe. Tuna wachezaji ambao ni wa kawaida sana, mtu kama Kibu ataifikisha wapi timu?
Aya twende kwenye uongozi, huku ndiyo ujanja ujanja, walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha Yanga kufungwa kimataifa. Mpaka sasa kocha mkuu Mgunda hana mkataba, hawajui kama wamuongezee au watafute kocha mpya.
Mpaka sasa anayejiita mwekezaji hajaweka ile pesa shilingi bilioni 20 kama thamani ya hisa ya asilimia 49. Timu inasajili wachezaji wa laki 5 kama akina Kibu itafika wapi? Angalia Yanga wamecheza michezo pungufu ila ndiyo wanaongoza ligi. Halafu kuna mbumbumbu wanasema tutachukua kombe, labda kombe la kahawa.
Mo Dewj tuachie timu yetu, ondoka na huyo dada yako Barbra, wanachama tunataka 20b, hatuwezi kuendelea kuwa mambumbumbu kiasi hiki.
Vijana njaa zinawasumbuaSiku moja natamani moo amke awarudishie club yenu
Akili itawakaa sawaa
Braza hii timu ni mbovu mno.Shabiki maandazi timu ikiwa vizuri mnapiga kimya
Simba ilikuepo kabla ya mo itaendelea kuwepo baada ya MoSiku moja natamani moo amke awarudishie club yenu
Akili itawakaa sawaa
Rage alituita mbumbumbuUkosefu wa maarifa ni mzigo
Kwani Mzee Kilomoni anasemaje kuhusu jambo hili! Akisema tuandamne, basi mimi niko tayari hata kesho.Wakuu kwema?
Ukitizima kwa jicho la kiufundi hii timu yetu ya Simba ni timu dhaifu, kweli tutasema tumefuzu hatua ya makundi Klabu Bingwa Africa lakini tumekutana na timu gani? Huwezi kujisifu kwa kupigana na mlevi.
Tazama mechi ya Azam, Singida na Yanga, Simba yetu ikikutana na timu iliyo 'compact' hatutoboi, ukweli usemwe. Tuna wachezaji ambao ni wa kawaida sana, mtu kama Kibu ataifikisha wapi timu?
Aya twende kwenye uongozi, huku ndiyo ujanja ujanja, walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha Yanga kufungwa kimataifa. Mpaka sasa kocha mkuu Mgunda hana mkataba, hawajui kama wamuongezee au watafute kocha mpya.
Mpaka sasa anayejiita mwekezaji hajaweka ile pesa shilingi bilioni 20 kama thamani ya hisa ya asilimia 49. Timu inasajili wachezaji wa laki 5 kama akina Kibu itafika wapi? Angalia Yanga wamecheza michezo pungufu ila ndiyo wanaongoza ligi. Halafu kuna mbumbumbu wanasema tutachukua kombe, labda kombe la kahawa.
Mo Dewj tuachie timu yetu, ondoka na huyo dada yako Barbra, wanachama tunataka 20b, hatuwezi kuendelea kuwa mambumbumbu kiasi hiki.
Yaani hata wewe leo unamkataa mwekezaji wetu?Mo tuache na timu yetu tumekuchoka
Mimi sina uwezo huo, huyo mwenye uwezo wa hyo 20 b ameweka? Kwahyo nami nikahaidi 500b kiutapeli? Utapeli siwezi.
wewe umeshaichangia simba shiliingi ngapi??Ntadai haki kama mwanachama sintotulia.
Utopolo mtupu umeandika.Wakuu kwema?