Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Cache operating system ndio inayo clear usitumie app, Nenda tu setting Kisha apps tafuta app husika clear...

Kujua app gani inakula sana cache Nenda setting Kisha storage.

Kama ni ishu serious sana clear cache kupitia recovery.
Shukrani mkuu.
Naonaga inanichosha ku-clear cache per app kwenye settings ndio maana nilitaka nijue kama kuna njia ya kufanya at the same time.
 
Sijawahi ona App inakula storage wakati inafanya kazi kama Picsart... Anaweza kula hadi 1gb wakati unatengeza art moja tu
 
Mimi nataka app ya kuhide calls na text za michepuko niwapo na mwenye nyumba......sitaki zionekane namba zao wakiwa wanapiga au kutext ila kwa namba nyingine fresh tu zionekane
 
Cheki app inaitwa go sms ina hide sms na call
Swali kabla sijaipakua
Ina uwezo wa kuselect namba na kuhide call na sms zake???
Na vile vile nikiipakua ina uwezo wa kujihide yenyewe akiwa anaangalia app asiniulize hii ni ya nini?
 
Back
Top Bottom