JUDITH MGASSE
Member
- Jun 5, 2012
- 17
- 4
wadau! Morning!
jamani hebu tusaidiane! hivi ni kweli kuwa kazi huwa zinatangazwa lkn hiyo Organisation tayari inakuwa na mtu! yaani wanatangaza ili tu kutimiza sera ya recruitment lakini mtu wa ku cover hiyo nafasi anauwepo! kama ni kweli huu ni ukatili wa aina yake! unajua ku apply kazi inachukua muda mrefu na akili nyingi! mfano mimi natafuta kazi sana na naona nina vigezo lakini siitwi kwa interview! nakata tamaa hasa nikisikia maneno kama hayo! hasa ukizingatia natumia muda mwingi takribanni masaa 8 kila siku ku apply kazi! nisaidieni nisikate tamaa!:angry:
Lkn pia, jamani hii serikali iko wapi kuhusu swala la experience! inakuwaje kila kazi experience miaka 3 na kuendelea! nisaidieni watu wa haki za binadamu na watu wa utumishi! kazi zinatangazwa sana unakuta exp 3 yrs sheria zinasemaje jamani!na kama ni kinyume watu wa utumishi na haki za binadamu wanazionaga hizo kazi ktk magazeti? nisijekuwa nalaumu vitu ambavyo vinakubalika kisheria!:confused2: