Tusaidiane! Yana ukweli ndani yake?????????

JUDITH MGASSE

Member
Jun 5, 2012
17
4
wadau! Morning!

jamani hebu tusaidiane! hivi ni kweli kuwa kazi huwa zinatangazwa lkn hiyo Organisation tayari inakuwa na mtu! yaani wanatangaza ili tu kutimiza sera ya recruitment lakini mtu wa ku cover hiyo nafasi anauwepo! kama ni kweli huu ni ukatili wa aina yake! unajua ku apply kazi inachukua muda mrefu na akili nyingi! mfano mimi natafuta kazi sana na naona nina vigezo lakini siitwi kwa interview! nakata tamaa hasa nikisikia maneno kama hayo! hasa ukizingatia natumia muda mwingi takribanni masaa 8 kila siku ku apply kazi! nisaidieni nisikate tamaa!:angry:

Lkn pia, jamani hii serikali iko wapi kuhusu swala la experience! inakuwaje kila kazi experience miaka 3 na kuendelea! nisaidieni watu wa haki za binadamu na watu wa utumishi! kazi zinatangazwa sana unakuta exp 3 yrs sheria zinasemaje jamani!na kama ni kinyume watu wa utumishi na haki za binadamu wanazionaga hizo kazi ktk magazeti? nisijekuwa nalaumu vitu ambavyo vinakubalika kisheria!:confused2:
 
Ukiona huitwi ujue kuna wenye sifa zaidi yako!
Nakushauri jaribu kuomba orgnstn ambz qualfctn zako zitaonekana zipo juu!
Suala la exprnce kiukwel linawakwaza wengi sana,limekaa kirushwarushwa mno!
 
Mimi nakushauri usikate tamaa ku-apply hata kama experience miaka inatakiwa kumi na wewe huna Sometimes anakosekana mwenye experience unaitwa wewe.
Hilo swala la kujuana usiliweke kichwani coz kuna jamaa yangu mmoja aliapply sehemu wanapojuana sana lakini mwisho wa siku anapiga kazi mpaka leo.
BE POSITIVE NA UTAFANIKIWA BIDADA.
 
mkuu unacopy post ndeeeeefu,unatupa tabu tunaotumia simu kuscrol
 
Sorry mkuu Lidaku nimejifunza kutokopy post ndefu. We learn through mistakes.
 
Last edited by a moderator:
asanteni kwa kunitia Moyo! lkn huu uzi unatamani umpate mkunaji! natamini kujua! haya mambo yapo?????????? na km yapo nini suluhusho! tujadili jamani wana JF
 
sio kweli kama ni kweli ni % 10 na epuka maneno ya watu wanapenda sana kukatisha tamaa..wewe apply kazi yoyote unayoiona na pia andika cv ako vizuri tafuta hata washauri waione cv yako
 
i mean inayoendana na qualifications zako
 
mimi kila siku nina theory moja kuwa kama ipo ipo tu hakuna cha experience wala kubebana na hii imenisaidia sana
nimekua nikapply kazi yoyote ambayo ninadhani naiweza cha ajabu nimekua naitwa kwenye interview nyingi sana ..suala la experience mara nyingi huwa ni kufuata protocal tuu lakini in real sense kazi nyingi haziitaji experience kiivyo
 
Ukiona huitwi ujue kuna wenye sifa zaidi yako!
Nakushauri jaribu kuomba orgnstn ambz qualfctn zako zitaonekana zipo juu!
Suala la exprnce kiukwel linawakwaza wengi sana,limekaa kirushwarushwa mno!

wewe vigezo unavyo? Na uandikaji wako Kama bata anaye hara.
 
mimi kila siku nina theory moja kuwa kama ipo ipo tu hakuna cha experience wala kubebana na hii imenisaidia sana
nimekua nikapply kazi yoyote ambayo ninadhani naiweza cha ajabu nimekua naitwa kwenye interview nyingi sana ..suala la experience mara nyingi huwa ni kufuata protocal tuu lakini in real sense kazi nyingi haziitaji experience kiivyo

ndio maana Serikali imefuta suala la Experience kwenye uombaji kwenye sekta zake.
 
wadau! Morning!

jamani hebu tusaidiane! hivi ni kweli kuwa kazi huwa zinatangazwa lkn hiyo Organisation tayari inakuwa na mtu! yaani wanatangaza ili tu kutimiza sera ya recruitment lakini mtu wa ku cover hiyo nafasi anauwepo! kama ni kweli huu ni ukatili wa aina yake! unajua ku apply kazi inachukua muda mrefu na akili nyingi! mfano mimi natafuta kazi sana na naona nina vigezo lakini siitwi kwa interview! nakata tamaa hasa nikisikia maneno kama hayo! hasa ukizingatia natumia muda mwingi takribanni masaa 8 kila siku ku apply kazi! nisaidieni nisikate tamaa!:angry:

Lkn pia, jamani hii serikali iko wapi kuhusu swala la experience! inakuwaje kila kazi experience miaka 3 na kuendelea! nisaidieni watu wa haki za binadamu na watu wa utumishi! kazi zinatangazwa sana unakuta exp 3 yrs sheria zinasemaje jamani!na kama ni kinyume watu wa utumishi na haki za binadamu wanazionaga hizo kazi ktk magazeti? nisijekuwa nalaumu vitu ambavyo vinakubalika kisheria!:confused2:

Nenda TRA kama we sio MCHAGA uone kama utapata kazi.
 
mkuu naona wadau wameamua kukufariji tu, hata uwe na qualification usipomjua mtu ni kazi bure.
 
mambo ya kujuana yapo kataeni kubalini na mifano ni mingi watu tunayo, ni sawa mpeni moyo lakini vitu vipo sana ivo
 
Ukiona huitwi ujue kuna wenye sifa zaidi yako!
Nakushauri jaribu kuomba orgnstn ambz qualfctn zako zitaonekana zipo juu!
Suala la exprnce kiukwel linawakwaza wengi sana,limekaa kirushwarushwa mno!

nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom