Tusaidiane figure hizi za kura Igunga jamani mi nimeshindwa!

Vyama vilivyoingia kwenye uchaguzi ni vinane, wewe umeandika matokeo ya vyama saba. hizo 83 ni za chama cha nane. sina kumbukumbu ni chama gani lakni nina uhakika ni vyama vinane vilivyoshiriki uchaguzi.

Hbr,jamani hvi hii imeshindwa kutumia hata kalkuleta kupiga hesabu za kura?,according to mwananchi na tanzania daima... wananchi waliojitokeza kupiga kura ni 53672 na zilizoharibika ni 1185 yan kura halali ni 52487 na mchanganua ni CCM-26484,CDM-23260,CUF-2104,AFP-235,CHAUSTA-182,DP-76 NA SAU-63 zinakupa jumla ya 52404. Jaman kula halali 52487 ni tofauti ya 83,.je 83 zimeenda wapi?,hata kama 83 ni kura chache je hazipunguz imani ya watu kwa tume?,au ndo walichakachukua vibaya wakasahau kubalance data?.
 
:CCM:26,484,Chadema:23,260,CUF:2,104,SUA 83,DP:76,AFP 235,Chausta 182,UPDP 63,zilizoharibika 1,185.Jumlisha tupe jibu

26,484+23,260+2,104+83+76+235+182+63+1185=??????
Acheni uvivu wa kufikiri,au ndio ugumu wa hesabu?

ukijua kukosoa ujue kunakukosolewa ! HATUNA CHAMA SUA TUNA SAU.POLENI WANAMAPINDUZI, PAMOJA NA YOTE UKOMBOZI UKO KARIBU IGUNGA IMEONYESHA MWANGA
 
ukijua kukosoa ujue kunakukosolewa ! HATUNA CHAMA SUA TUNA SAU.POLENI WANAMAPINDUZI, PAMOJA NA YOTE UKOMBOZI UKO KARIBU IGUNGA IMEONYESHA MWANGA

ishu sio majina.ishu ni tarakimu.tunaomba msaada wako mkuu.bora ungesema amesahau kuweka idadi ya kura za updp ndo ningekuelewa.mia
 
TAtizo liko Tume ya Rais ya uchaguzi maana Kama imeandikisha watu 170,000 Igunga na waliojitokeza Mwaka jana ni TAkribani wapiga Kura 47,000 na Mwaka huu idadi inakuwa hiyo hiyo. Je, DAftari hili liko sahihi?
 
Tume ya Uchaguzi huwa inakwenda katika jimbo la uchaguzi tayari na matokeo mfukoni, na huo ndio ukweli wa mambo.

Hbr,jamani hvi hii imeshindwa kutumia hata kalkuleta kupiga hesabu za kura?,

according to mwananchi na tanzania daima... wananchi waliojitokeza kupiga kura ni 53672 na zilizoharibika ni 1185 yan kura halali ni 52487 na mchanganua ni CCM-26484,CDM-23260,CUF-2104,AFP-235,CHAUSTA-182,DP-76 NA SAU-63 zinakupa jumla ya 52404.

Jaman kula halali 52487 ni tofauti ya 83,.je 83 zimeenda wapi?,hata kama 83 ni kura chache je hazipunguz imani ya watu kwa tume?,au ndo walichakachukua vibaya wakasahau kubalance data?.
 
Hbr,jamani hvi hii imeshindwa kutumia hata kalkuleta kupiga hesabu za kura?,according to mwananchi na tanzania daima... wananchi waliojitokeza kupiga kura ni 53672 na zilizoharibika ni 1185 yan kura halali ni 52487 na mchanganua ni CCM-26484,CDM-23260,CUF-2104,AFP-235,CHAUSTA-182,DP-76 NA SAU-63 zinakupa jumla ya 52404. Jaman kula halali 52487 ni tofauti ya 83,.je 83 zimeenda wapi?,hata kama 83 ni kura chache je hazipunguz imani ya watu kwa tume?,au ndo walichakachukua vibaya wakasahau kubalance data?.

Na za uchaguzi mkuu 2010 katika baadhi ya maeneo niliyoyapitia kura zilikua hazitally kabisa
 
Ile thread yenye matokea ipo wapi? Kwenye website ya NEC of course hakuna matokeo. Huu ni ujinga. Tukichekwa kweli tuna wa kumlaumu?
 
Hbr,jamani hvi hii imeshindwa kutumia hata kalkuleta kupiga hesabu za kura?.

According to mwananchi na tanzania daima... wananchi waliojitokeza kupiga kura ni 53672 na zilizoharibika ni 1185 yan kura halali ni 52487 na mchanganua ni CCM-26484,CDM-23260,CUF-2104,AFP-235,CHAUSTA-182,DP-76 NA SAU-63 zinakupa jumla ya 52404.

Jaman kula halali 52487 ni tofauti ya 83,.je 83 zimeenda wapi?,hata kama 83 ni kura chache je hazipunguz imani ya watu kwa tume?,au ndo walichakachukua vibaya wakasahau kubalance data?.

hata mimi napata kigugumizi hasa nikisiliza msimamizi wa uchaguzi wakati akitangza matokeo. kama mlikuwa makini, kuna chama alikip[a kura LAKI MBILI na usheee hivi na kingine akakipa laki moja na zaidi. Cha kushangaza si wa laki mbili wala wa laki moja aliyetangazwa mshindi bali ni KAFUMU wa CCM aliyepata kura 56 elfu.

kama kuna mtu alipata recording ya kutangaza matokeo, aiweke hapa tuanze kutafakari upya.
 
:CCM:26,484,Chadema:23,260,CUF:2,104,SUA 83,DP:76,AFP 235,Chausta 182,UPDP 63,zilizoharibika 1,185.Jumlisha tupe jibu

26,484+23,260+2,104+83+76+235+182+63+1185=??????
Acheni uvivu wa kufikiri,au ndio ugumu wa hesabu?
hurricane,wapi nilipochemka mkuu,.ok twende taratiiibu 2tafika tu. Hvi magazeti manne niliyopitia yamefanya typing error?,mwananchi,tanzania daima,majira na habari leo yote yametype vibaya?. Hebu tujiulize tu 83 zipo wapi huo utetezi mwingne sio wa kweli...
 
Tikatika bado mchanga sana kuchambua hoja,hapa swala lilikuwa figures kukosea majina sio issue,nimekubali kukosolewa kwa sababu kwako issue ni jina na sio figures.
 
Approximations jamani ,,mambo ya principia de mathematica
ndugu yangu quick umenifurahisha na umeonesha jinsi hesabu zilivyo tatizo,yan unaapproximate 83?,khaaa yan umeonyesha 76 za DP halafu unakadilia 83,kwann usikadilie 76 to 0 kabla ya kukadilia 83?
 
ukisoma majira matokeo ni kama ifuatavyo:ccm:26,484,chadema:23,260,cuf:2,104,sua 83,dp:76,afp 235,chausta 182,updp 63,zilizoharibika 1,185.jumlisha tupe jibu

matokeo ya uchaguzi igunga october 02, 2011
s/nchamakura
1ccm26,484
2chadema23,260
3cuf2,104
4sau83
5dp76
6afp235
7chausta182
8updp63
zilizoharibika1,185
jumla ya kura53,672

kama sijakosea tarakimu, kura ndo hizo hapo.
 
Attachments

  • Book1.xls
    24.5 KB · Views: 41
Hahahahaaa! Mkuu wewe ndo umenikumbusha!
Nilikuwa namuangalia yule jamaa sijui magayane sijui kitu gani nkachoka kabisa. Msimamizi wa uchaguzi hajui hesabu! Anatamka atakavyo tu.
Sasa utamshangaa nkwere akiwa anatoa takwimu mchanganyiko ndani ya mwezi mmoja?

hata mimi napata kigugumizi hasa nikisiliza msimamizi wa uchaguzi wakati akitangza matokeo. kama mlikuwa makini, kuna chama alikip[a kura LAKI MBILI na usheee hivi na kingine akakipa laki moja na zaidi. Cha kushangaza si wa laki mbili wala wa laki moja aliyetangazwa mshindi bali ni KAFUMU wa CCM aliyepata kura 56 elfu.

kama kuna mtu alipata recording ya kutangaza matokeo, aiweke hapa tuanze kutafakari upya.
 
pakua+%u0025252810%2529.jpg

pakua+%u0025252811%2529.jpg

Ukipiga hesabu hapo naona zipo sawa sawa! Mjadala kwisha...
 
hata mimi sijaelewa pls

nadhani figuer ziko ok. Kinachonishangaza ni msimamizi wa uchaguzi kutangaza baadhi ya vyama vikipata kura hadi 200,000 lakini havikupata ushindi. Kama kuna mtu alinasa sauti ya magayane, atuwekee hapa tujiridhishe
 
Back
Top Bottom