masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,679
- 12,364
Mbowe, Slaa na Lissu walipo soma speech hii walianza kuulizana wao kwa wao kwa nini Lissu ulitangaza kuwa amefukuzwa wakati kikao cha kamati kuu kilikuwa hakija jadili swala hii? Lissu akamshota kidole Slaa. Slaa, mwaka huu kazi ipo. Dogo ameenda shule, kwa stahili hii ma billion tuliyo ficha Uswisi itakuwa hadharani.
teh teh wamepita kusoma nimeshaangalia list ya watu waliopitia huu uzi