Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 174
Ni ndefu ila imejaa nondo za kutosha jipe muda mwana jf uisome kuna kitu utapata hautatoka kapa.
Tusubiri matendo yake
Ni ndefu ila imejaa nondo za kutosha jipe muda mwana jf uisome kuna kitu utapata hautatoka kapa.
Huyu jamaa tusipo mtumia ipasavyo katika uongozi wa nchi yetu tutajuta kama tulivyomkosa salim
Km mzalendo kwann hakuwa mwanachama tuu mpaka amejipa ufalme?. Aache sana. Zito wakitajwa wanasisa wenye pesa yupo. Huku Tabata kuna nyumba ya kifahari wanasema ya Zito. sasa huo uzalendo uko wapi?.
Mbowe, Slaa na Lissu walipo soma speech hii walianza kuulizana wao kwa wao kwa nini Lissu ulitangaza kuwa amefukuzwa wakati kikao cha kamati kuu kilikuwa hakija jadili swala hii? Lissu akamshota kidole Slaa. Slaa, mwaka huu kazi ipo. Dogo ameenda shule, kwa stahili hii ma billion tuliyo ficha Uswisi itakuwa hadharani.
The problem is "You think contrary to what you practice"Usaliti wa wenzako kwasababu ya vijisenti nimbaya kukiko Ufisadi!
Ufafanuzi wakuu. Cheo cha kiongozi mkuu kimenichanganya kidogo maana tayari ACT wana Mwenyekiti na Katibu. Kiongozi mkuu ndio rais wa chama au!
Watanzania sasa huko tumetoka tuko hapa, na ya huko yalitushinda tena na muasisi mwenyewe akiwepo, kutuaminisha kwamba nchi hii inaweza kuwa ya kijamaa, kwa kweli ni kupotezeana muda. Tunakwenda na mfumo wetu huu, haijulikani ni UjamaaBepari huku tukiondoa mafisadi wote na kuweka sheria kali kwa mustakabali wa taifa letu