Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
keshaona kuwa inaanza kula kwakeNape ni kama vile kapunguza punguza maneno siku izi
si unajua ukikaa na wajahidina lazima ufuge ndevu.Nape hadi mawazo yake mengi ni ya kizee tayariWazee hawa wamechoka...sana....naona Nape na yeye kaanza kuvuta sura kama wazee
...........Nape,Mabina na Mkamah
View attachment 48639
Kama wachezaji wa zambia tu! HIP!!!HIP!!! HURAAH!! LAKINI MBONA HAWAONYESHI UKAKAMAVU HAWA MAKAMANDA AU NDO RU.........IMEWALEMAZA?
hakika nawaambieni tuhamie kwenye kambi ya lowasa hii kambi tuliyopo miyeyusho....
Wewe mbona umechakachua avatar ya Yo Yo?nothing new with Gambaz
hilo zee la katikati linaitwa nani?
Dah hako kakitambu ka nape... Not age appropriate
hakika nawaambieni tuhamie kwenye kambi ya lowasa hii kambi tuliyopo miyeyusho....