Tupia maneno kwenye hii picha

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
...........Nape,Mabina na Mkamah
6. Nape, Mabina na Mukama wakishauriana jambo.jpg
 
Mikakati ya ushindi kwa njia yoyote Arumeru. Mungu walai.
 
dah, huyu mganga kiboko... yani kila kitu live kwenye karai!!! itabidi tumtafutie gari aisee
 
Wazee hawa wamechoka...sana....naona Nape na yeye kaanza kuvuta sura kama wazee
 
kama kuchoka ndio tumezeeka sana lakin dogo ache ....nge kwan merumeru lile le2 hawa chagga development manfesto a.k.a. chadema wanazingua na mbwembwe zao,wez 2
 
Kama wachezaji wa zambia tu! HIP!!!HIP!!! HURAAH!! LAKINI MBONA HAWAONYESHI UKAKAMAVU HAWA MAKAMANDA AU NDO RU.........IMEWALEMAZA?


hakika nawaambieni tuhamie kwenye kambi ya lowasa hii kambi tuliyopo miyeyusho....
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom