Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Imalaseko - Maswa
Tutuo - Tabora
Omurutilima - Ukerewe.
Raha Leo - Zanzibar.
 
Kazamwendo, Kibanda maiti (znz)
Nanganga, Mateja (kusini)
Kwa tumbo, Kwa Pakacha, Kwa mtogole (Tandale)
Kwedikwazu, Kwa msisi (Tanga)
 
bunduki ...MOROGORO, Kigurunyembe-moro,kilosa kwa mpepo-ulanga moro, tanganyika masagati-kilombero moro, chita-kilombero,mbingu-kiliombero
 
Nanyumbu, Nangurukuru, Nakapanya, Nanguruwe...alafu kuna chuo kimoja kipo States jina lake binafsi lilinibakisha na "labda"....Slippery Rock University....dah
 
Mia Hamsini - Arachuga

ebwana menikmbusha hicho kituo karibu na darajani. siku moja kilizua zogo kwenye daladala. kondo katangaza nauli sh mia watu wakapanda ilipofika hapo kwenye hicho kituo konda kauliza mia hamisini? akimaanisha kama kuna mtu wa kushuka acha abiria wamapandishie kuwa alitangaza sh mia watu wakapanda kaja kawabadili kwenye gari ilikuwa zogo kubwa yaani mpaka abiri wanakuja kuelimishwa ilikuwa imekaribia kuzipia ndani ya daladala
 
Back
Top Bottom