Tupeane LIKES

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,905
Watu wajf mseme mtu vizuri na mpe like yake. Mie ninao wengi nawapa team yote ya JamiiForums heri ya mwaka mpya kuanzia director, manager na wafanyakazi wote wa JF.

ERoni , Glenn DeepPond sophy27 Cillah mzabzab Depal Lenie Extrovert Unique Flower Kelsea To yeye Love Doctor
Lovelovie Chakorii Bujibuji Simba Nyamaume @wachagaa wote.

Ujumbe mkiwa mnatoapost zenu au kulike kushare mnaleta mvuto kabisaa.
Demi you are my sunshine .na Asprin Daby .

Happy new year
Nakadori Kambi ya Fisi wote Hawa nawapa likes zangu bila kumsahau Lee dronedrake
 
aad.jpg
 
Watu wajf mseme mtu vizuri na mpe like yake .
Mie ninao wengi nawapa team yote ya JamiiForums heri ya mwaka mpya kuanzia director , manager , na wafanyakazi wote wa jf . ERoni , Glenn DeepPond sophy27 Cillah mzabzab Depal Lenie Extrovert Unique Flower Kelsea To yeye Love Doctor Lovelovie Chakorii Bujibuji Simba Nyamaume @wachagaa wote.
Ujumbe mkiwa mnatoapost zenu au kulike kushare mnaleta mvuto kabisaa.
Demi you are my sunshine .na Asprin Daby .
Happy new year
Naomba like yangu
 
Cillah naona unalima miwa karibu na shule ya msingi..utakoma
Unique Flower ni mjanja anajuq ladha ya miwa🤣🤣
 
Wewe ukivutia sina shida, ila mume wangu mimi jamani😭😭😭😭
Atajanitoa roho huyu mwanaume🙆🙆

Naomba nikupe ukweli mchungu.

kuna gharama kubwa kupendwa na mwanaume mwema au mke mwema.
Kumbuka huo wema wanauona wenzio nao wanatamani kupata kitu chema.

Vumilia ndg yangu.

Vinginevyo tafuta Wasira wa peke yako🤣🤣😍
 
Huyu mwanaume nishapata nae shida sana walah!! Nikajua amezeeka sasa atakuwa wangu peke yangu ila holaaa🙆🙆🙆

Si unakumbuka alikwambia kufika hapa ni kwa neema tu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom