Tuombeane-chochote chaweza tokea,hii ndio hali halisi ona picha

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
TUPO KWA SASA TUNASUBIRIA REFA APULIZE FILIMBI YA KUANZA AMA KUSIMAMISHA MAPIGANO,MAANA TAYARI DALILI ZA MAUWAJI NA MAANDAMANO ZINAJIONESHA DHAHILI.
TUZIDI KUOMBEANA DUA ILI KUKWEPA KIKOMBE HIKI CHA RISASI KWANI REFA AKIRUHUSU WACHINA NA WAJAPANI KUZICHAPA HATUNA NJIA NYINGINE YA KUJIOKOA ZAIDI YA KUZIKWA KWA MISILE ZA PANDE ZOTE MBILI
anti-japan-2012-5.jpg


anti-japan-2012-1.jpg

anti-japan-2012-1.jpg


anti-japan-2012-8.jpg


anti-japan-2012-4.jpg


KWA WALE MATOMASO INGIA HAPO
In Photos: China's anti-Japan fury: Shanghaiist
 
mmbeee.....wakipigana mabomu yanakuja mpaka huku......? nianze kuondoka mie.....
 
TUPO KWA SASA TUNASUBIRIA REFA APULIZE FILIMBI YA KUANZA AMA KUSIMAMISHA MAPIGANO,MAANA TAYARI DALILI ZA MAUWAJI NA MAANDAMANO ZINAJIONESHA DHAHILI.
TUZIDI KUOMBEANA DUA ILI KUKWEPA KIKOMBE HIKI CHA RISASI KWANI REFA AKIRUHUSU WACHINA NA WAJAPANI KUZICHAPA HATUNA NJIA NYINGINE YA KUJIOKOA ZAIDI YA KUZIKWA KWA MISILE ZA PANDE ZOTE MBILI
anti-japan-2012-5.jpg


anti-japan-2012-1.jpg

anti-japan-2012-1.jpg


anti-japan-2012-8.jpg


anti-japan-2012-4.jpg


KWA WALE MATOMASO INGIA HAPO
In Photos: China's anti-Japan fury: Shanghaiist

Poleni sana mkuu, tuombe Mungu amani itamalaki
 
Poleni sana mkuu, tuombe Mungu amani itamalaki

we acha tu,tunayashuhudia kwa macho,siyo ya kusimuliwa,na kumbuka wachina wanafundishwa somo la uzarendo na nchi yao ktk hili unawaona jinsi wanavyo komaa na wajapan,tayari xian wamesha poteza maisha wajapani wawili
 
Historia ya nchi mbili hizi pia itazifanya ziingie katika mgororo mkubwa ambao unahitaji usuruhshi wa haraka, China iliwahi kuwa koloni la Mjapani hasahasa katika eneo la viwanda Manchuria.
 
nilikuwa china juzi hali ni mbaya magari na bidhaa zozote za kijapani vinaharibiwa ni suala la muda tu ila tusiombe wakachapana yatakayotokea itakuwa kama hiroshima
 
Japan hana ubavu wa kupigana na china,sanasana anategemea msaada wa wajeshi wa marekani ambao wamepiga kambi pale okinawa.
Na kama marekan akijiingiza kwenye ugomvi huo basi maanake ni mwanzo wa vita vya tatu vya dunia.
 
Hichi kisiwa cha Diaoyu kitaleta matatizo kama kile cha Migingo.
Lakini ikumbukwe pia Elements of the Earth melting down na hili liliandikwa. Ni angalizo tu.
 
Binafsi nitapenda sana kuishuhudia hii vita, najua wengi mtanishangaa pasipo kuniuliza kwanza kwa nini?
 
Japanese had a strong medicine to treat the rest in far east...but now Chinese are large in number, economy and power. Watakomaje!
 
Unawaza kuwa na sababu nzuri. Haya Kwanini unataka kushuhudia hiyo vita?

well, nimepata kuishi moja ya hizo nchi na kuitembelea mojawapo...
Ni ukweli kuwa Wajapan walitawala China na kuwatesa sana watu wa wakati huo...Wachina wengi waliikimbia nchi yao na maelfu waliuawa. Pamoja na hayo yote hiyo imekuwa ni historia kwa sasa.
Kwa upande mwingine hili suala la kunyanyasa na kuwatesa Wachina limeshafutika katika mawazo na fahamu za Wajapan kwa kiasi kikubwa kwa kuwa wao walikuwa superior lakini kwa Wachina imebakia kuwa kumbukumbu mbaya kiasi ya kwamba siku ukitaka kukosana na Mchina basi mwambie ya kwamba anafanana na Mjapan.
Sasa ngoja nirudi kwenye sababu yangu.
Baada ya mateso na manyanyaso hayo yote, dhamira ya Wachina na serikali ya Beijing imekuwa ni kuitawala dunia "take over/control the world" katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. China is the new emerging nation, na hilo linawafanya watamani kuwa namba moja kwa kila kitu. Kwa mcho ya nje watu wengi huwaona Wachina kama watu wakarimu na wasio na mawaa, lakini mioyo yao imegubikwa na hila.
Kwa upande mwingine nchi ya Japan, hii nitapenda kuiita "the sleeping giant", ni moja kati ya mataifa waungwana sana...wana kila kitu na hawajaanza kuwa nacho leo wala jana. Kama kungekuwa na taifa ambalo lilipaswa kuwa na chuki juu ya vita au uvamizi wa aina yoyote basi hawa bila shaka wangekuwa na kinyongo juu ya Wamarekani kutokana na mkasa na genocide ya Nagasaki na Hiroshima.
Taifa la China linachofanya ni kuitisha Japan kama mpango wa kulipiza kisasi, na ndio maana kuna vurugu zinazoendelea katika miji ya CHANGSHA, QINGDAO, CHENGDU,SHENZHEN,XI'AN n.k kote huko Wachina wanajifanya kufunja, kuchoma na kuharibu kila aina ya property ambayo ni made in Japan.
SASA HAWA WATU INABIDI WAPEWE ADABU KIDOGO ili wajue ya kwamba sio wao tu pekee ndio WAFALME WA MSITU, sifa za kuendelea kiuchumu na kijamii, kunawafanya waanze kuwapanda watu vichwani.
Unajua mikwara yote hii ya Wachina ni propaganda zao wakiamini wataipiga Japan na kuiharibia uchumi wake.
 
Back
Top Bottom