Tuombeane-chochote chaweza tokea,hii ndio hali halisi ona picha

Sasa ngoja nirudi kwenye sababu yangu.
Baada ya mateso na manyanyaso hayo yote, dhamira ya Wachina na serikali ya Beijing imekuwa ni kuitawala dunia "take over/control the world" katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni

kwa hiyo unafurahia wachina kuteka DUNIA????
 
Sorry ni kama vile hukumwelewa,yeye anataka china ichapwe ili kuipunguzia nguvu ya kiuchumi inayompa jeuri ya kuitawala dunia,if am right.
 
Back
Top Bottom