Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
Haya ni mambo ya kijinga sana yanayonyemelea taifa letu tusipokuwa makini watanzania tutaumizana kwa vitu ambavyo hata mtoto wa darasa la saba wa shule zetu hizi mpya za "K" anaweza kutolea maamuzi. Tunawasomi wamepewa dhamana ya uongozi wanashindwa kutoa uamuzi na kuwajulisha watanzania kuchinja ni jukumu la nani katika nchi hii. sioni tatizo wakati wa mheshiwa raisi mwinyi alisema "ruksa kwa kila mtu kuamua nini ale na nini asile" kuhusu kuchinja ndo tunapata kigugumizi kweli? Ajabu sana kwani miaka yote walikuwa wakichinja akina nani mpaka leo iwe ni shida kuendelea kuchinja waliokuwa wakichinja siku zote hizi toka tupate uhuru?

Ukiwasikia waislamu wanavyomwaga dharau ktk suala hili la uchinjaji huwezi kuleta hoja kama hii. Hebu endelea kupitia thread hii ujionee.
 
Wewe ndo ulieleta hoja ya kujitenga unafikir na rahis kihivyo,wapo watakao zikana dini zao kwa sababu ya ndugu zao walioupande wa pili..wakristo hawasupport kujitenga ila kule kubebwa kwenu kunakera
Mara Waislamu watakufa njaa, mara wapo watakaozikana dini zao, mara "kubebwa" kwa Waislamu kupitia
MoU,NECTA,Muungano, Bakwata,kufungwa kwa viongozi Waislamu, kamatakamata ya Waislamu kunakera!

Hakuna ugumu wowote wa kugawana nchi ila Wakristo wanaogopa kupoteza mabilioni ya MoU na misaada mingine ya serikali inayoufanya Ukristo u-survive nchini.
 
Haya ni mambo ya kijinga sana ......kuhusu kuchinja ndo tunapata kigugumizi kweli?
Ajabu sana kwani miaka yote walikuwa wakichinja akina nani mpaka leo iwe ni shida kuendelea kuchinja waliokuwa wakichinja siku zote hizi toka tupate uhuru?

Ni rahisi kuliona hili ni jambo la kijinga!!!... Lakini kumbuka wanaodebate wengine ni wasomi kuliko wewe!!! ...Hujui ukubwa wa tatizo ingia makanisani ujue sumu iliyochochea haya kuanzia 2010. Anayelalamika bila kufanya maamuzi ndiye aliyechochea haya!!! Soma posti za waislamu huwezi kushauri hivyo!!!

Nadhani umefika wakati sasa kwa wananchi kupima na kuacha kufuata ushauri wa kijinga

Hujui ukubwa wa tatizo!!!

Baada ya maandamano ya kisiasa kushindwa, sasa ni mwendo wa uchochezi wa kidini! Ilimradi NCHI ISITAWALIKE!

KAZI YA USTAADHI ILUNGA... Pamoja na kuagiza wakristo wauawe hakamatwi!!!... Lwakatare mkristo chap chap!!!

Hao wanao fanya fujo,dawa ni moja tu, peleka polisi piga risasi kama watano halafu ndio watakaa sawa.hakuna cha muislamu wala mkristo,changanya wote.

Post ya mfuasi wa ILUNGA piga risasi ukiua mapadri wanne watanyooka hawa!!
 
KAZI YA USTAADHI ILUNGA... Pamoja na kuagiza wakristo wauawe hakamatwi!!!... Lwakatare mkristo chap chap!!!
Dr.Slaa aliyesema nchi haitatawalika na tunaiona isivyotawalika anaendelea kutumbua pesa za kodi ya raia haohao anaotaka kuwaharibia nchi yuko uraiani...Sheikh Ponda Muislamu anayedai haki ya ardhi ya Waislamu yuko jela.
 
Haya yote ni faida ya serikali legelege iliyoko madarakani!

Hili la Mkoani Mbeya kwa mtazamo wangu ni cha mtoto nahisi yatatokea mazito zaidi na kisa ya yote ni uongozi dhaifu!
 
Ngoja nikuoneshe jinsi ulivyo mpuuzi: Mtu akija nyumbani kwako, akakuingilia wewe baba mwenye nyumba (kukulawiti), baada yako akafuata mkeo, kisha wanao wa kike nao wakafanywa hivyo, utakaa kwenye kona ukichekelea kwamba unampenda adui yako na kumwalika aje awaingilie tena next time?

Tunaombea chakula na sio KAFARA. Chakula kilichotolewa kafara kwa miungu ya dunia si sahihi kula

Tutaendelea kuombeana tu. Sisi wakristu tuwe mfano na tuitangaze Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo.

Mafarisayo walisema hivyo hivyo wakati Yesu anashiriki na watu najisi. Na waliamini kabisa wanafanya mapenzi ya Mungu na kufata sheria zake.

Yesu alipigwa akadhalilishwa akatukanwa akavuliwa nguo wakamvika taji la miba akabebeshwa msalaba lakini alipokuwa msalabani akasema
"Baba wasamahe kwakuwa hawajui watendalo"
Alikuja kutuonesha kuwa inawezekana.

“But I say to you who hear, Love your enemies, do good to those who hate you, bless those who curse you, pray for those who abuse you.

For if you love those who love you, what reward do you have? Do not even the tax collectors do the same?
 
aifute vipi wakati Maaskofu wanasema walifunga mkataba na serikali ya Ujerumani?!Pesa za MoU hizo.
Kwa taarifa yako michango kila dominika inachangwa na inatangazwa jumla yake,kupitia harambee kila baada ya kipindi fulani,hatuitaji hisan yoyote kutoka serekalini wala kwenu..
 
Haya yote ni faida ya serikali legelege iliyoko madarakani!

Hili la Mkoani Mbeya kwa mtazamo wangu ni cha mtoto nahisi yatatokea mazito zaidi na kisa ya yote ni uongozi dhaifu!

Mbeya ni ya pili baada ya Mara kwa kuwa na madhehebu mengi ya Kikristo kwa hiyo akina Diwani wajiangalie sana katika usuluhishi wa haya mambo wanataka kuwabambikizia baadhi ya wanasiasa atalipuwa moto ambao utamvua ile miwani miesi anayotamba nayo kama check bob kume RPC wa kubambikwa
 
ukweli hisia hizi zinachochewa na viongozi wa chadema tunduma

Ndiyo walio muua mchungaji kwa kosa la kuchinja?
Kama sio CDM waliomuua, basi dini iliyomuua yule mchungaji ndiyo chanzo.
KUMBUKA DAMU YA MTU HAIPOTEI BURE.
 
Hata kama CCM ndio ilianzisha udini, lakini hii ndio njia sahihi ya 'kuiadhibu' hiyo CCM?

Hakuna anayeiadhibu, ila haya ni matokeo ya kazi ya kupandikiza udini!!!.. Ukipanda nyanya tegemea kuvuna nyanya si mahindi!!

Hao wanao fanya fujo,dawa ni moja tu, peleka polisi piga risasi kama watano halafu ndio watakaa sawa.hakuna cha muislamu wala mkristo,changanya wote.

ILUNGA style

Baada ya maandamano ya kisiasa kushindwa, sasa ni mwendo wa uchochezi wa kidini! Ilimradi NCHI ISITAWALIKE!

Ukiguswa uchinjaji, wakristo hawana haki!!!... SHEHE ILUNGA MBONA HAMUMMKEMEI?!!! Akiagiza wakristo wauawe siyo mchochezi?!!!

Chanzo ni Makanisa kuchomwa Zanzibar na wakristo kuwaona waislam kama si ndugu zao tena.
Walioshitakiwa wahukumiwe ili iwe fundisho sio kuwaweka tu mpaka upepo upoe waachiwe huru

Makanisa yakichomwa moto waislamu wanaona poa tu!!!

mkuu Tunduma ni mji mdogo upo wilaya ya mbozi..mkuu wa wilaya nahisi nia kadege kama hajabadilishwa
Hajabadilishwa!!.. Ila utata umechagizwa na mkuu wa mkoa!!!

Nlikuheshimu sana Mkeshaji ! Nimeziona busara zako na nimeondoa shilingi yangu kwenye heshima nliyokuwa nakupatia !
Kwahiyo Waislamu wao kuchinja ni ibada na ni ibada ya mapepo sio ? Hujaondoa tatizo ila umekoleza moto yaani wewe huna tofauti na hao wazee wa CCM -Lumumba wakina nani hiii, hawana suluhisho !

Kwani miaka 50 iliyopita tamaduni hii ya kuchinja ili mule woote ilifanyika kwa watu wa dini gani ? Kwanini haikuwa ni Ibada ya mapepo ila iwe leo?

Anatafuta heshima au haki?!! Wakristo hatuongozwi na tamaduni!!!.. Iwapo kusacrifice haki yetu imekuwa nongwa basi LAZIMA HAKI YETU IRUDI!!!

Matusi mengi saana!!.. Soma thread za wenzako uone!!!


Wakristo hatukolezi moto bali tunauzima ili kila mmoja afanye chake!!!

Jamii ni wakristu na waislam! Labda kama unaweza kuja na ushahid wa makubaliano ya wakristo na waislam kuhusu nan achinje! We took it naturally, with respect of others bliefs but inapotokea heshma mtu anaigeuza kuwa amri ndo tatzo linapoanzia! Hatupendi yatokee thats why tunaomba tupate suluhu

Hapo umeongea Vema!!!... Kwa ubabe kamwe hawatafanikiwa!!!... Busara ikitumika kuna suluhu!!!

Kwa Tunduma ninavyopajua yanaweza kutokea makubwa zaidi ya haya.
Haya yote ni matunda ya propaganda za CCM, Cuf ni waislamu, CHADEMA ni wakatoliki, sasa haya ndiyo matokeo. Na hili linaweza kuwa tatizo la uamuzi wa kijinga uliotolea na DC, anayetANGUliza ukada mbele kuliko maslahi makubwa ya taifa.
Chondechonde kama kweli kuna msikiti umechomwa hili jambo si zuri, nyumba za ibada hazina budi kuheshimiwa

Hiyo ni kazi ya Nape, Mwigulu, na Ritz one - JK kuipasua jamii kidini na kikabila!!!... Ili CCM iwe na uhai!!
 
Kwa taarifa yako michango kila dominika inachangwa na inatangazwa jumla yake,kupitia harambee kila baada ya kipindi fulani,hatuitaji hisan yoyote kutoka serekalini wala kwenu..
Hata mkichanga bila MoU inakuwa ni pesa zinazochangwa na mifisadi inayoiba serikalini (kodi ya wananchi) na kuileta huko!
 
Hata mkichanga bila MoU inakuwa ni pesa zinazochangwa na mifisadi inayoiba serikalini (kodi ya wananchi) na kuileta huko!
Hahahaaaaaaa umekosa sehem ya kupumulia now is mafisadi.,tunasonga mbele endeleen kulia
 
RAITI WAISLAMU WANGEKUWA NA QURAN WANGESOMA SURAT 5:5 AL-MAIDAH
inayosema kuwa kura nyama aliyochinja Mkristo ni halali kwani Mkristo alitangulia kupata KITABU.
TATIZO LA WAISLAMU WA HII NCHI WANAMEZESHWA CD BADALA YA MANENO KUTOKA KWENYE QURAN YAO.
 
Miaka kadhaa iliyopita "Biblia Ni Jibu" kikundi cha uamsho wa Injili kilitoa taarifa kuwa suala la kuchinja katika machinjio ya Vingunguti na Kimara walilimaliza baada ya kuonana na wachinjaji wa maeneo hayo na kulitolea ufafanuzi wa maandiko kutoka katika Quroan na Biblia. Habari hii ilitoka katika moja ya matoleo ya gazeti la kikristo la "Msemakweli" (sikumbuki toleo wala tarehe ya toleo).

Kama taarifa hiyo ilikuwa na ukweli huo; Je, haitakuwa vema elimu hiyo ikatumika kwa nchi nzima?

JK uwe na hili kichwani, unabii unaelekea kutimia. Ilitabiriwa kwamba; CCM inaenda kuvunjikia mikononi mwako.

Suala la udini si dogo. Chama chako kilipoanza kuliasisi dhidi ya NCCR-Mageuzi na kisha kwa CUF na CDM haikujua kwamba kiliwasha moto utaokuja kukimeza. Waislamu hawakuelewi (hadi wanakusomea Itikafu) na wakristo hawakuelewi (wametoa tamko kupitia Jukwaa la Maaskofu) yaani, kwa jumla HUELEWEKI, marais waliokutangulia walieleweka, kulikoni?

Katika hili usitumie ushauri wa kina Wassira na Pinda hawa wamewahi kataliwa kwa nyakati tofauti na makundi hayo mawili.
 
Hizo ndizo faida za rais kutawala nchi kwa nguvu za majini aliyorushiwa na Sheikh Yahya! Udini utammaliza mwenyewe!!!! Amesahau kwamba alipogombea urais wa nchi hii wakristo walimpenda sana. Wala hawakutazama dini yake. Lakini ni bahati mbaya kwamba ameendekeza udini bila sababu za msingi!!!!
 
Mamamamamama,umechomwa msikiti,kwani unahusiana nini na kuchinja?! Haya sasa,si ndo mmeanza kuchomeana nyumba za Ibada.Kanisa likichomwa mnalia sana haya sasa mlie sasa msikiti umechomwa kama hamko biased.Mbona hizi virugu kwenye waislam wengi kama Dar hatusikii?Nadhani hapa kipo kinachotafutwa,ni muhimu serikali ikatatua huu mzozo haraka iwezekanavyo.Msikiti una kosa gani kwani ndio unaochinja nyama mpaka ukachomwa.Huku ni kuchezea moto jamani.

jina lako lina akisi maneno yako.waislam weng wapo dar? kwa mujib ya sensa ya wap?ukiuliza uhusiano wa kuchoma msikit na kuchinja watakuuliza uhusiano wa mtoto kukojolea quraan na kuchoma kanisa.kwa kutumia akil ndogo tu utagundua hamna mwenye hal ya kumchinjia nyama mwenzie
kila mtu ajichinjie ziwepo bucha za kikristo na kiislamu
 
Jana mji wa Tunduma uligeuka na kuwa Darful baada ya polisi kupiga mabomu ili kuwatawanya waandamanaji. chanzo cha vurugu hizo inadaiwa kuwa ni kuchinja ng'ombe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom