Tundu Lisu ashinda kesi safiiiii sanaa M4C for life

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Kwa habari zilizo za moto kabisa jembe letu Tundu Lisu ameshinda kesi
tunashukuru kwa amombi yenu na sala zenu JF
nomba kuwasilisha kiroho safiii
sosi redio tone dar...........
 
Kufanya kosa siyo kosa bali kosa ni kurudia kosa.

Serikali na Ikulu wameshaona madhara ya kuingilia sheria kwa kulazimisha hukumu dhidi ya viongozi wa upinzani. Na sasa hawawezi kurudia ya Arusha kwani yana wagharimu sana CCm hadi sasa na uamuzi wao mbovu utaendelea kuwagharimu. HAWAKUTEGEMEA KUWA YATATOKEA YOTE YALE NDANI YA CHAMA NA NJE YA CHAMA.

Hivyo kesi zote zilizobaki hukumu ya haki itapatikana.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
tusubiri ya Sumbawanga maana yule mpuuzi aliyeamua kesi ya arusha alitoka huko.
 
Hayo magamba yatawabana mwaka huu hadi wakonde, pambaf* zao! Cheza na TL nyinyi.
 
Arusha kurudi ni pagumu maana raia wa arusha wanasema hata jiwe likiwekwa likavalisha Bendera ya chadema watalipa kura zote, watu wameshachoshwa nao, hata vibaraka wanaona aibu!!
 
Back
Top Bottom