Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Niliwambia zamani CDM,

Kumtukana Magu live jukwaani ni LAZIMA uwe umelewa kama kamanda Fulani pale furahisha.

Magufuli aliipenda Nchi hii na alikuwa MZALENDO 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Lissu kwann hukumkubali Akali akiwa hai🙏🙏🙏🙏????

Nenda Chato ukatubu, ingawa TOBA yako Si Rahisi kusikika sababu Nabii Magu, hayupo kaburini,

Yuko Mbinguni.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
Tumsifu Yesu kristo... Milele Amina
 
MAGU NI SHETANI NA HUKU LILIKO LINAUNGUA MATAKO. He killed a lot of people

View attachment 2701562

Tangu Nchi kupata uhuru watu wamekuwa waliuwawa na tunakemea mabaya hayo,

003, wachimbaji walifukiwa, Lisu alitoka kukemea, akakimbilia ughaibuni!!

004, Mwangosi alienda, Dk ulimboka alipoteza meno yake Kwa praiz!!

005, Lissu alinusurika na tulimwombea uhai ukamrudia!!

005 ya second half, Ngorongoro wamekufa maasai, Tanga waliokotwa kwenye viroba mtoni, mapadre kadhaa wameripotiwa kuuwawa nk nk!!

Tuungane na Lisu kufanya maridhiano ya KITAIFA kukiri UZALENDO wa Magu ktk kulinda raslimali za Nchi.

Tanzania ni yetu sote ndugu Retired🙏

Kama Lissu ameamua twende huko, ni Kwa Nia njema🙏🙏.
 
wewe hujamwelewa Lisu. Lisu is very objective, ukweli anausema kama ulivyo na uongo anausema kama ulivyo. Mimi Magufuli nilikuwa namuunga mkono at the beggining (ingawa mimi by nature ni mpinzani maana upinzani unainyoosha serikali iliyo mdarakani kwenye democratic countries). Alipoanza kukiuka haki za binadamu grossly, kuua watu..where is Ben, where is azory, sandarusi za maiti coco beach , kufilisi watu, kuunda watu wasiojulikana ! kuua bunge, mahakama, kuvunja katiba, sheria etc etc Nathamini uhai....etc etc etc, sikumpenda katu. Whatever good he didi goes down the trench!
 
Niliwambia zamani CDM,

Kumtukana Magu live jukwaani ni LAZIMA uwe umelewa kama kamanda Fulani pale furahisha.

Magufuli aliipenda Nchi hii na alikuwa MZALENDO 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Lissu kwann hukumkubali Akali akiwa hai🙏🙏🙏🙏????

Nenda Chato ukatubu, ingawa TOBA yako Si Rahisi kusikika sababu Nabii Magu, hayupo kaburini,

Yuko Mbinguni.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
Lugha alotumia Lissu ni 'figurative.'
Tulijifunza tukiwa darasa la VII B mwaka 1979!
 
Twe
#MkutanoOkoaBandariZetuBukoba.

"Nilihapa sitafanya mkutano Chato ila nitakwenda hata waweke mapolisi nitakwenda Chato, nitakwenda kumuasha Magufuli amka Magufuli amka uone wanavyofanya" Tundu Lissu

"Magufuli hakuiba tusimsingizie wala hakusaini huo mkataba, Magufuli mnajua mambo yake hakuwahi kuiba" Tundu Lissu

"Umewahi kuona wapi CCM wanazunguka nchi nzima kutetea Mkataba wa bandari,kuna nini,kuna maslahi yapi ya ziada,wameacha ilani yao Wameamua wafe na Mwenyekiti wao" Tundu Lissu

"Nani kama Mama,mama gani anauza Mali za familia,Mama gani anagawa cha kwetu kwa watu tusiowajua,Mama gani anakula chakula cha watoto wake" Tundu Lissu

"Kama ni mwizi tutamuita mwizi,amegawa bandari zetu kwa waarabu,atuambie manufaa ya huu mkataba yako wapi kwenye mkataba sio kupiga maneno na hayapo kwenye mkataba " Tundu Lissu
Yuko sahihi
 
Mtanikumbuka, Tena mtanikumbuka kwa mazuri. Hapa ndipo ninapoona Magufuli alikua nabii na nafikia hatua ya kusema kua alikua malaika alietumwa ili kuja kutukomboa toka ktk unyanyasaji wa maasidi wa ndani na nje hata ikibidi ajitoe sadaka kwaajili yetu, lakini mafarisayo na masadukayo wakafanya yao dhidi yeka. Kimsingi Magufuli hana tofauti na kina Paul, Musa na mabiii wengine. Kulijua hilo ni mpaka roho mtakatifu akufunulie Kama mimi alivyonifunulia.
 
wewe hujamwelewa Lisu. Lisu is very objective, ukweli anausema kama ulivyo na uongo anausema kama ulivyo. Mimi Magufuli nilikuwa namuunga mkono at the beggining (ingawa mimi by nature ni mpinzani maana upinzani unainyoosha serikali iliyo mdarakani kwenye democratic countries). Alipoanza kukiuka haki za binadamu grossly, kuua watu..where is Ben, where is azory, sandarusi za maiti coco beach , kufilisi watu, kuunda watu wasiojulikana ! kuua bunge, mahakama, kuvunja katiba, sheria etc etc Nathamini uhai....etc etc etc, sikumpenda katu. Whatever good he didi goes down the trench!
Taahira kweli ww Kama aliua watu kwann hukumpeleka mahakamani? Ata Yesu alisingiziwa mambo ambayo hakuyajua wala kuyafanya na hao mafarisayo na masadukayo
 
exactly this is what Lisu meant, not otherwise. Aliiba lakini siyo kama samia na genge lake. Kuna tenda nyingi zilifanywa na Mayanga construction Company ambayo ilikuwa kampuni yake, ALIIBA lakini siyo kama hii ya samia Mamndenyi
Endelea kuzunguka mbuyu muda si mrefu utanyoosha Tu maelezo JPM ilikuwa mpango wa Mungu
 
Back
Top Bottom