Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

Tume ya Uchaguzi imemtangaza rasmi Tundu Lissu kuwa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA

Namshukuru mungu karibu wabunge wote niliotaka waende Bungeni wamepita isipokuwa tu Mwanasheria Tambwe Shitambalaa wa Mbeya-Vijijini;huyu namjua vyema na kama angeingia mjengoni maslahi ya Taifa yangeimarika zaidi!

Jamaa kamfanya kitu mbaya sana binamu yake Jonathan Njau aliyegombea kupitia CCM. kama kawaida Njau alimwaga mapesa kifisadi na Lissu akamwaga sera kizalendo, wananchi wakala pesa wakachagua sera. Wandugu mimi ni wa jimbo hilo na Lissu aliweka kambi kubwa kijijini kwetu, Makiungu. Jamaa anauwezo mkubwa kinoma, kuwabadili watu wale wasipigie CCM ni kazi kubwa ndugu! Nashukuru Mungu nami nimechangia kukubalika kwake maana nimejibu maswali mengi sana ya watu wa home wakiulizia kama Lissu ni mtu wa namna gani....of course nilimpaka rangi aliyostahili.
Lissu anza kazi, pale Makiungu kuna dhuluma nyingi sana. Viwanja vilipimwa kwenye mashamba ya watu na hakuna fidia ililipwa wakati viwanja vyenyewe vinauzwa kwa bei mbaya! Jimbo hilo ni lako maana kabla hapakuwa na mbunge mwenye kuleta huduma za kijamii na kutetea wananchi. Mungu akubariki.
" gumiyanjite njaghamba o mahambe"
 
Wote walishitakiwa ati kwa uchochezi walipoujulisha umma kuhusu kufukiwa wa wachimbaji wadogo wadogo. Kesi hiyo sijui iliishaje?

Wawili kati ya watatu wako mjengoni.
 
Jimbo la Singida Mashariki - UBUNGE: Tundu Lissu [CHADEMA] 13,777 Jonathan Njau [CCM] 12,170. CHADEMA tumechukua Jimbo #Uchaguzi #Tanzania.....
ChademaTz | Facebook
 
"Eeh nafsi yangu umhimidi BWANA na vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake Takatifu!" CHADEMA Veeeeeeeeeeeeemmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Singida Mashariki

TUNDU LISSU - CHADEMA 13,777
JONATHAN NJAU - CCM 12,170.

Kidedea Pipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooz!!!!! Bunge la mwaka huu moto. Beba salama mikoba ya Dr. Slaa, alikupa wosia!!!! Amejitolea kuacha ubunge ili apeleke nguvu kubwa bungeni kwa idadi ya wabunge imetia fora. Mheshimuni Dr. na nia yake njema kwa taifa.
 
Was waiting 4 this.... Thanks Lord... Bungeniiiiiiiiiiiii:yield::yield::yield::yield:
 
Hongera sana Mpiganaji Tundu Lisu. Wewe ni sawa na wabunge wa CCM 30
 
Back
Top Bottom