Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

hahahaha,duh natamani huyu jamaa aingie bungeni maana kutakua safi sana
 
Wakati umefika kurudisha hishma serikalini... wao wameshindwa ngoja waone ss...
 
Aisee nialikwe kwenye sherehe hiyo maana mie ni infidelity origino

ehe ehe ehe msanii ,mpaka nipate uhakika ndo nkamtafute uyu mdada. Uckonde ikiwa kweli ntakuita! Tundu Lissu namkubali si kawaida!
 
Lissu huwa namkubali sana very arguementative na ana reasoning ya hali ya juu.
 
Safari hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wameinanihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ccm mjengoni
 
Tundu Lissu ni IRON-MAN!...
Mungu saidia habari hizi ziwe na chembechembe za ukweli!
Nina maalizia kwa kusema Amen.

Ninajaribu kumfikilia akiwa mjengoni, anamtwanga swali la nyongeza waziri wa madini -assume ni W Ngeleja, lazima muulizwa swali chupi immbane.

Tafadhalini, fuatiliane data kisha mtuanikie hapa jamvini.
 
wow, sasa Lisu liwe bugeni Slaa ikulu, mambo bambam!!!!
Hizi habari zimefanyiwa utafiti wa kutosha, isiwe ni kumwagiana mchanga wa macho!!!!
 
Big up honey! chi chi em watajibeba mwaka huu! Lazima wakimbizwe kuelekea kituo cha uwajibikaji!
 
Habari nilizozipata kwa njia ya simu toka kwa mtu wangu huko singida ambaye anafuatilia kwa karibu matokeo ni kwa Tundu Lisu amepeta naye Misanga wa CCM singida kusini chali, mgombea wa kusini kupitia chadema sijapata jina lake
 
Habari nilizozipata kwa njia ya simu toka kwa mtu wangu wa karibu huko singida ambaye anafuatilia kwa karibu matokeo ni kuwa Tundu Lisu amepeta naye Misanga wa CCM singida kusini chaliii, mgombea wa kusini kupitia chadema sijapata jina lake.
 
Habari nilizozipata kwa njia ya simu toka kwa mtu wangu huko singida ambaye anafuatilia kwa karibu matokeo ni kwa Tundu Lisu amepeta naye Misanga wa CCM singida kusini chali, mgombea wa kusini kupitia chadema sijapata jina lake
Mjengoni patachimbika..Dr amepata mrithi wa ukweli!
 
Back
Top Bottom