Narubongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 2,768
- 2,750
Nakubaliana na Mwana JF Narubongo juu ya uwezo wa Mheshimiwa Gekul na nampongeza sana.
Nikiwa Mwenyekiti Taifa wa kwanza na Muasisi wa CHADEMA, nachukua fursa hii kueleza kwamba alama ya Vidole Viwili "V" inayotumiwa na wana-CHADEMA ni alama ya Ushindi kimataifa yaani "Victory". Wanaoiona ni manati nadhani ni viongozi limbukeni, au mbu mbu mbu.
mzee hii signature "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" haya ni maneno ya Mh Livingstone Lusinde aliyatoa hayo kipindi cha uchaguzi mdogo wa arumeru mashariki.
Dada Gekul atayarishwe vizuri ili 2015 asimame mwenyewe jukwaani kama alivyofanya Halima Mdee 2010.