Tundu Lissu: Mtoto wa mjomba, Bombadia, Ukanda na kitabu maarufu cha "It is our turn to eat"

Upendeleo wa kimfumo upo sana nchin mwetu, hasa miaka hii ya karibuni. Kikwete alitaka awe na bandari ya Bagamoyo badala ya kuoboresha bandari ya Tanga au Mtwara kwa Dangote. Bandari ya Bagamoyo ni upuuzi manake bagamoyo iko karibu sana na Dar, hivyo kutafanya mji uwe na msongamano usio wa lazima.

Kuna uzwazwa wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Katavi ili kumuenzi 'mtoto wa mkulima'. Je wahitimu wa SUA tumewatumia kiasi gani mpaka tutamani utitiri wa vyuo vikuu vya kilimo? Kuna SUA graduates wengi wako wanafundisha au ktk mabenki.

Kuna uwanja wa ndege wa Chato-wilaya wakati kuna mikoa haina uwanja wa ndege wa maana. Iringa kuna kauwanja ka mpira (sorry wa ndege) kanaitwa nduli. Njombe uwanja wao wa ndege hakuna kwasababu wao watapanda ungo. Mkoa wa Songwe pia watapanda ndege aina ya ungo hivyo hawahitaji uwanja wa ndege.

Kwa resources chache tulizonazo, hatuwezi kuendelea kama kila rais anakuja na vipaumbele vyake na nakshi za kule atokako. Lazima tuwe na vipaumbele vya taifa ambavyo kila mtu anaweza kuvielewa na kuvitetea.
 
By the way why do we want foreign aid. The Presidents of those countries that give us aid go to work in humble transport, their ministers travel in third class, they do not amass public funds but live simplelives.
Tz has all the wealth it needs. But if we listen to all that has gone on in the government in terms protection of public property and the nation's wealth, you will agree with me that it is unfair to ask for a single cent from any country.
If the Hon Magufuli would say that he is going to make everyone that misappropiated public funds/resourses/took bribery/etc, pay back the exact amount, this country would be rich overnight and would never need any foreign aid.
So why should we use their resources?
 
Tundu Lissu atakuwa mjanja,hapo balozi zote nadhani kazitaarifu kabla ya kuongea yakiwemo mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu
Alifanya ziara kote akawambia Udikteta wote wanaofanyiwa Wapinzani ndipo umoja wa mabalozi na ulaya wakamwambia nenda katapike nyongo wakikukamata tunaiwekea vikwazo Tanzania mpaka magufuli aache Udikteta wake.
 
Upendeleo wa kimfumo upo sana nchin mwetu, hasa miaka hii ya karibuni. Kikwete alitaka awe na bandari ya Bagamoyo badala ya kuoboresha bandari ya Tanga au Mtwara kwa Dangote. Bandari ya Bagamoyo ni upuuzi manake bagamoyo iko karibu sana na Dar, hivyo kutafanya mji uwe na msongamano usio wa lazima.

Kuna uzwazwa wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Katavi ili kumuenzi 'mtoto wa mkulima'. Je wahitimu wa SUA tumewatumia kiasi gani mpaka tutamani utitiri wa vyuo vikuu vya kilimo? Kuna SUA graduates wengi wako wanafundisha au ktk mabenki.

Kuna uwanja wa ndege wa Chato-wilaya wakati kuna mikoa haina uwanja wa ndege wa maana. Iringa kuna kauwanja ka mpira (sorry wa ndege) kanaitwa nduli. Njombe uwanja wao wa ndege hakuna kwasababu wao watapanda ungo. Mkoa wa Songwe pia watapanda ndege aina ya ungo hivyo hawahitaji uwanja wa ndege.

Kwa resources chache tulizonazo, hatuwezi kuendelea kama kila rais anakuja na vipaumbele vyake na nakshi za kule atokako. Lazima tuwe na vipaumbele vya taifa ambavyo kila mtu anaweza kuvielewa na kuvitetea.
vipaumbele vya magufuli kwa sasa ni kulinda vyeti vya Daud Bashite Maliyamungu,kuzuia kuhoji PhD yake ukibisha wanakubeni sanane, kuwabambikia Wapinzani kesi kesi utitiri, kuwakomoa kuwadhalilisha, kuwadhoofisha kupitia Lipumba na msajili, pesa zote za Safari za nje kubana matumizi, kodi za majengo, vibali vya sukari, 10% ununuzi wa ndege na madili yake mengi kaamua kuzitumia kuwabambikia kesi na kuwakomoa Wapinzani ameachana na viwanda kaamua kuwa Dikteta anataka kurejesha mfumo wa chama kimoja.
 
Hamjamuelewa Raisi tumpe muda kwanza amalize madudu na kuondoa wapigaji mkate ugawanywe kwa kila mwananchi
Hiyo ndiyo propaganda ya kipuuzi kabisa inayopenda kutumiwa na vijana wa Lumumba....

Kuwa eti tumwachie Rais aifasishe kwanza nchi hata kama anaisigina Katiba ya nchi.

Hivi kutakuwa na maana gani kuwaapisha marais wetu ili wailinde na kuitii Katiba yetu, kama baadhi ya watu na wengine ni watu wanaoheshimika sana ndani ya Jamii, kama watakuwa wanaiona Katiba yetu kama takataka fulani vile........
 
Naomba mmwambie TL kuwa anakoelekea si kuzuri sana kisiasa.
Huyu mtu sasa amechujuka kisiasa, hana jipya, kilichobaki kwake ni KUBWATA BWATA tu kama faru aliyejeruhiwa.
Naomba kuuliza:-
Tangu aanze kupiga kelele zake za ovyo, watanzania wamepata faida gani kwa hizo kelele zake?
Mimi naomba huyu mtu tunatakiwa kumsaidia hata kwa kumpuuza tu.
Akiendelea, atapotea kabisa kisiasa.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
kabla kujibu hilo hebu tuambie we Roundworms tumepata faida gani baada ya wale fisiem wenu pale mjengoni kupiga mikelele ya NDIOOOOOOOO kupitisha mswada wa dharula wa madini yetu?
 
Hahahahahahahahah chongo anaweza kuwa mfalme kwenye kundi la vipofu so siwezi kukushangaa ww inawezekena ukawa huko upande ule ambao Lissu kwenu ni mfalme hivi mtu mwenye akili anaweza kusema tunyimwe misaada kisa umekatazwa kupiga kelele majukwaani dah nawaonea huruma sana wana Singida mashariki kuwa mbunge wao hataki wanasingida wapate Barabara , visima, na miundombinu kisa amekatazwa kupiga kelele jukwaani
visima gani ikiwa miaka 56 mumeshindwa mutaweza kwa miaka mitatu
 
Daudi Mchambuzi,
Hakika inasikitisha!!! Kuna watu wa Lumumba(CCM as a whole) wanamwona John Joseph Pombe kama Malaika aliyeshuka kutoka mbinguni!!They must be very very and very wrong!!! Huwezi ukapata Malaika miongoni mwa mashetani. Never and never again. Mkaburi yote anayoyafukua Magufuli yalifukiwa na WANA CCM(Chama Cha Makinikia). Uvundo wote unaotoka kwenye hayo Makaburi unaifanya CCM izidi kunuka na kunuka!!! Watu wameziba pua wanashindwa hata kupumua lakini huyu Ngosha anajifanya hamnazo akiendelea kufukua kaburi baada ya kaburi kana kwamba ni kichaa fulani asiyejua kuwa hilo ni kaburi au jalala la takataka!!!
Acha CCM waendelee kushangilia lakini, lakini..........muda utazungumzan sauti kubwa na sauti hiyo itasikika hadi mbinguni!
sio dhambi!
what about lowasa kwa upande wa nyumbu is he not more than malaika, halafu sauti gani kutoka mbinguni itasikika kuwatetea kina sumaye na lowasa washiriki wa mpaka tuliko sasa
 
Hahahahahahahahah chongo anaweza kuwa mfalme kwenye kundi la vipofu so siwezi kukushangaa ww inawezekena ukawa huko upande ule ambao Lissu kwenu ni mfalme hivi mtu mwenye akili anaweza kusema tunyimwe misaada kisa umekatazwa kupiga kelele majukwaani dah nawaonea huruma sana wana Singida mashariki kuwa mbunge wao hataki wanasingida wapate Barabara , visima, na miundombinu kisa amekatazwa kupiga kelele jukwaani
We ndio punguani. Bora uishi kama mtumwa kwenye nchi huru (nchi yako) au kuishi huru bila misaada ukajitafutia? Bora nife nimesimama kuliko kuishi nimepiga magoti

sent from using iphone 7+ mobile app
 
Alifanya ziara kote akawambia Udikteta wote wanaofanyiwa Wapinzani ndipo umoja wa mabalozi na ulaya wakamwambia nenda katapike nyongo wakikukamata tunaiwekea vikwazo Tanzania mpaka magufuli aache Udikteta wake.
Mjinga huyu lisu hana ubavu huo wewe kwa lugha gani alionayo au hicho kiingereza chake cha kukariri Miga?? Wazungu wangekua na mtu wao wanamuamini cheche zao zingeshaonekana kwa watakavyomuunga mkono lakini naona bongo ni chenga chenga tu. Na upinzani wa bongo ni rojorojo tu ndio magazeti yao yanamuandika ngosha bulldozer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu hiki kimetungwa na Michela Wrong,unaweza ku-google ukadownload

Kinaongelea mambi ya ukabila,ukanda,undugu,ufisadi katika utawala wa kibaki

Mwandishi anasema kubadilika kwa utawala ni mabadiliko na ujio wa mbinu mpya za ufisadi,alifananisha na soko maarufu Nairobi ambalo halikuwahi kufanyiwa usafi tangu enzi za Uhuru(fananisha na soko la Tandale) na akasema uchafu katika soko hilo ilikuwa katika layers kadhaa,mwingine ulimwaga wakati wa Uhuru,mwingine wakati wa Moi,na mwingine ukaanza kumwagwa kipindi cha kibaki,akimaanisha kila awamu ilikuwa inabadilisha mbinu tu za ufisadi,lakini ulikuwepo,

Mpaka sasa Tanzania tuna awamu tano.

Pia alitolea mfano siasa za kikabila na kikanda,akasema wakati wa Jomo Kenyata,ilikuwa ni zamu ya wakikuyu kula,Jomo Kenyata alipofariki,akaja Rais Moi,Mkalenjin,ikawa ni zamu ya Wakalenjin kula,na waliwakandamiza haswa wakikuyu kwa kuwa wao walishakula enzi za Jomo Kenyata(piga picha mapaka yanavyogombania chakula),wakalenjin wakalaaa weeee,

Baadae wakikuyu wakajipanga,wakamuweka mtu wao Mwai Kibaki,akaingia na mikwara kama ya huyu wa kwetu,haikupita miezi mitatu Kibaki akaonekana na SAA kubwa ya Dhahabu iliyopambwa kwa Almasi,mara suala la ununuzi wa mitambo ya passport,magari ya polisi,likaibuka,Kenya imepigwa na wahusika anasema "walikuwa ni kama nyoka mrefu,kadri unavyomvuta kutoka shimoni,haishi,lakini dalili zote zinaonyesha KICHWA CHAKE KITAKUWA KIKUBWA saaaaana!

Kinara Mkuu kwenye kitabu hiki ni John Githongo,Mkikuyu,anasema katika ikulu ya Nairobi Mara kadhaa akiwa ofisini alikuwa anasemeshwa kikikuyu,na si kwa lugha ya taifa

John Githongo anasema kuna kipindi aliwahi kuitwa na Moody Awori,Makamu wa Rais,na wakati anaitwa alikuwa anafatilia kashfa kubwa sana nchini kenya,Nadhani Bwana Awori alikuwa anamkumbusha "its our turn to eat"
Hiki kitabu kina hakisi yanayoendelea hapa Bongo,
Nipo nakiteremsha taraatiiibu,asante sana mkuu,kwa hii nondo
 
Back
Top Bottom