Tundu Lissu: Machawa yapo kila sehemu hadi ndani ya Chama chetu na hicho ndio kinaua Chama chetu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Machawa yapo kila sehemu hadi ndani ya Chadema na hicho ndio Kinauwa Chama

Lisu ameonekana kukerwa sana na Uwepo wa Chawa Chadema

Chanzo: Jambo TV
 
Source: Jambo TV
Kuna lichawa limoja kutoka Mbeya lipo lipo tu na kujifanya think tank wa Chadema afikiwe na hii taarifa. Makamu Mwenyekiti hapendi uchawa.
 
Mbogamboga wamechanganyikiwa Igizo la Makondeko limebuma kifo cha mende.....

Mmeufyata mpaka mmezuia Vibali vya CHOPA Mbeya.....
Erythrocyte Erythrocyte Erythrocyte Erythrocyte Erythrocyte Ndio machawa wakubwa wa CHADEMA wanaoendelea kumwambia mbowe kuwa asikubali kuachia uukigoda wa kitega uchumi chake maana atakufa na njaa
 
Kuna lichawa limoja kutoka Mbeya lipo lipo tu na kujifanya think tank wa Chadema afikiwe na hii taarifa. Makamu Mwenyekiti hapendi uchawa.
Erythrocyte Erythrocyte Erythrocyte Ndio chawa mkuu akiwa na magimbi yake pale Desderia Hotel. Nampongeza hata hivyo kwa juhudi zake za kumpambania mbowe bila kuchoka .lakini pia sina ubaya naye hata kidogo.maana ni muungwana tu
 
Angewataja kwa majina naona ingependeza zaidi, ili tuwapime vizuri uzito wa huo uchawa wao.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Machawa yapo kila sehemu hadi ndani ya Chadema na hicho ndio Kinauwa Chama

Lisu ameonekana kukerwa sana na Uwepo wa Chawa Chadema

Source: Jambo TV
Mbowe ameweka machawa kila sehem kila atakalo fanya lazima wamtetee kwa gharama yoyote
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Machawa yapo kila sehemu hadi ndani ya Chadema na hicho ndio Kinauwa Chama

Lisu ameonekana kukerwa sana na Uwepo wa Chawa Chadema

Source: Jambo TV

Safi sana kama Tundu Lissu amekiri kuwa chama chake kinapukutika, ahamie kile chama cha JAHAZI ASILIA!
 
Back
Top Bottom