Tundu Lissu Live ndani ya HOTMIX EATV

Kamanda umetudanganya,mbona kamanda Lisu hatumuoni au jamaa wameshapiga stop. TUJUZE
 
Baada ya ccm kuingia kiwewe na kufanya hujuma watu wasipate elimu juu ya katiba pendekezi na kumdhalilisha mzee wetu jaji warioba leo wanaingia kwenye mtihani wa pili pale ambapo Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu atakuwa ndani ya kipindi cha HOTMIX kinachorushwa na EATV leo tarehe 4-11-2015 kuanzia saa 12:00 jion lissu atakuwa akifunguka kuhusu Katiba pendekezi.

Sasa kwa wale wasiotaka watu wajadili na kupata elimu kuhusu katiba pendekezi na leo wasimame na Mabango yenye jumbe tofauti mbele ya Tv zao Lazima watawala wafike mahala na kukubali ni vigumu kuzuia maji kupita kwenye mkondo wake.

Watz wote kaeni mkao wa kula kuanzia saa 12 jioni Lissu atatoa elimu hiyo bure na Live!
Karibuni!!!
shame on them,,,lisu anakaribishwa tuu,,,temeke umeme umekatika
 
Ana shindwa kwenda kwenye vikao vya bunge ana baki kuzunguka kwenye Television tuu!
 
anasema hata vijana wamenyimwa haki na anasoma kifungu cenye maelezo marefu ambayo hayana haki yoyote kwa kijana
 
Lisu amenifurahisha amesema Prof leo ni kama amepiga kipenga cha kura ya maoni ya ndio au hapana so sasa hivi ni kuelekeza nguvu huko tu
 
Kuelimisha watu sio kosa la jinai kama mawaziri wa jk na ccm wanavyofanya sasa'Lissu
 
Ana shindwa kwenda kwenye vikao vya bunge ana baki kuzunguka kwenye Television tuu!

Kaka una visa! Sasa inakuuma nini ameenda hajaenda kama anatekeleza wajibu mwingine wenye faida kwetu siye wajinga ni bora kuliko hilo bunge la mipasho.
 
Back
Top Bottom